Uchaguzi 2020 Suphian: Nagombea ubunge jimbo la Singida Magharibi

Uchaguzi 2020 Suphian: Nagombea ubunge jimbo la Singida Magharibi

ACT ni kikundi cha ma-snitch vilaza watupu kabisa
 
Unabaraka za Ayatollah Zitto Zuberi Kabwe & Sultan Seif Sharif Hamad?!?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Pigana kijana japo uwakomboe wapiga kura wako! Je unatosha? Maana vijana hamuaminiki nyie ila nikupongeze ukipata usimsahau Mungu na ujae hofu yake. Safii kaza buti
 
Atagombea au anatangaza nia? Kwani chaguzi za ndani za chama zimeshafanyika?
 
Back
Top Bottom