Suphian Juma
Senior Member
- Apr 2, 2019
- 140
- 577
Kosa la ACT ni lipi na ni wapi ambalo MiCCM Imefanya vizuri hadi Kubaka Changuzi zetu...Kuruhusu hiki kikundi cha ACT kushiriki Uchaguzi Mkuu hapo October ni udhaifu wa Ofisi ya Msajili
Taifa kwanza Demokrasia baadae
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho unachoita kikundi je kinaendesha shughuli zake kinyume na taratibu za vyama vya siasa?Kuruhusu hiki kikundi cha ACT kushiriki Uchaguzi Mkuu hapo October ni udhaifu wa Ofisi ya Msajili
Taifa kwanza Demokrasia baadae
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili kukuza democrasia na kuonekana uchaguzi wa vyama vingi nenda kagombee. Kwa ufupi ACT haitapata mbunge mmoja Tanzania Bara.Mimi Suphian Juma natangaza NIA ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Singida Magharibi kupitia Chama cha ACT wazalendo. Singida Magharibi nitawatanguliza ninyi na Taifa langu mbele daima.
Ewe Mwenyezi Mungu NISAIDIE!!View attachment 1441253
Unabaraka za Ayatollah Zitto Zuberi Kabwe & Sultan Seif Sharif Hamad?!?Mimi Suphian Juma natangaza NIA ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Singida Magharibi kupitia Chama cha ACT wazalendo. Singida Magharibi nitawatanguliza ninyi na Taifa langu mbele daima.
Ewe Mwenyezi Mungu NISAIDIE!!View attachment 1441253
Kila raheri Bwana akutangulie aanze mapema kusafisha magugu njia ikawe nyeupee, ukipata huko usisahau kugeuka nyumaMimi Suphian Juma natangaza NIA ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Singida Magharibi kupitia Chama cha ACT wazalendo. Singida Magharibi nitawatanguliza ninyi na Taifa langu mbele daima.
Ewe Mwenyezi Mungu NISAIDIE!!View attachment 1441253
Kwa bahati mbaya ndugu yangu, huko kwenye Genge la CCM na kwenyewe, ni Maamuzi ya Jiwe Kwanza, Kisha Chama, na Taifa panapo majaaliwa!Kuruhusu hiki kikundi cha ACT kushiriki Uchaguzi Mkuu hapo October ni udhaifu wa Ofisi ya Msajili
Taifa kwanza Demokrasia baadae
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepiga utosiniKwa bahati mbaya ndugu yangu, huko kwenye Genge la CCM na kwenyewe, ni Maamuzi ya Jiwe Kwanza, Kisha Chama, na Taifa panapo majaaliwa!
Halafu ukijana sana, unafanya nini kwenye hicho chama cha waduanzi wabomoa nchi (zito, seif, jussa, duni, mazrui)
Huwezi kuwa na Taifa bila ya kuwa na Demokrasia ila unaweza kuwa na nchi bila ya Demokrasia!!Taifa kwanza Demokrasia baadae
utaacha usaliti ?
Vizuri kijana, komaa hapo hapoMimi Suphian Juma natangaza NIA ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Singida Magharibi kupitia Chama cha ACT wazalendo. Singida Magharibi nitawatanguliza ninyi na Taifa langu mbele daima.
Ewe Mwenyezi Mungu NISAIDIE!!View attachment 1441253