Suplimentary ,Special Chuo cha SAUT

Suplimentary ,Special Chuo cha SAUT

KINOLE

Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
5
Reaction score
1
Jamani nauliza mwenye kujua tarehe ya supp na special za chuo cha mtakatifu augustine zinaanza tarehe ngapi, maana matokeo tayari yyametoka nataka kujua kwa yule mwenye ufahamu.:help:
 
Jarib kuingia kwenye website ya chuo nafikil unaweza kujua unachotaka

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
Kweli we kilaza.yani unasoma saut afu bado unakua na supp?
 
Kweli we kilaza.yani unasoma saut afu bado unakua na supp?

wewe akili zako za kitoto unafikiri ungesoma saut ungepata first class? na chuo ulichosomea average40%, ungeenda saut ambapo average50% pangekusumbua sana ,ndugu balozi wa nyumba kumi manake mawazo yako na id yako ya seneta haviendani wewe ni balozi wa nyumba kumi na sio seneta
 
Kweli we kilaza.yani unasoma saut afu bado unakua na supp?

wewe na kidiploma chako usiwe unatuandikia ujinga kama huu hapa jf. Io saut unayoidharau wewe average yake ni 50% we ungeweza kwa akili yako ndogo io?? Kama watu wanasoma udsm au ifm kwenye 40 na wanadisco je wangekuja saut?? Acha kufikiria kwa kiasi kidogo kiasi icho!
 
Back
Top Bottom