Kaka mwisho
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 407
- 178
Uongozi wa chuo kikuu cha dodoma (udom) kipo kwenye mazungumzo na serikali ya wanafunzi ili kiweze kuwasaidia wanafunzi ambao mpaka sasa hajaona matokeo yao nahuku wakitakiwa kufanya supplementary zao tarehe 27 ya mwezi huu. MAAZIMIO WANAFUNZI WOTE WAWASILIANE NA MA CR WAO PAMOJA NA DERPATMENT ZAO. Onyo kukosa supplementary utadisco na chuo hakitahusika kwa namna yoyote. KWA MAELEZO ZAIDI WAWEZA FIKA CHUONI.