Uongozi wa chuo kikuu
cha dodoma (udom) kipo kwenye mazungumzo na serikali ya wanafunzi ili
kiweze kuwasaidia wanafunzi ambao mpaka sasa hajaona matokeo yao nahuku
wakitakiwa kufanya supplementary zao tarehe 27 ya mwezi huu. MAAZIMIO
WANAFUNZI WOTE WAWASILIANE NA MA CR WAO PAMOJA NA DERPATMENT ZAO. Onyo
kukosa supplementary utadisco na chuo hakitahusika kwa namna yoyote. KWA
MAELEZO ZAIDI WAWEZA FIKA CHUONI.