Supplementary na special exams UDSM

Supplementary na special exams UDSM

Mnyepe Boy

Senior Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
101
Reaction score
16
kwa anaejua kuhusu almanac kubadilishwa hasa kwa ratiba ya supplimentary atujuze kwa faida ya wote.....??
 
Hii ni taarifa kutoka kwa ukurasa wa Facebook wa DARUSO Mlimani, nimewasiliana pia na watu kadha wanaonekana wana taarifa ya kufanana na hii.
NDUGU WANAUDSM KUMETOKEA MABADILIKO YA KUFANYA MITIHANI YA SUP. MITIHANI HIYO ITAFANYIKA TAREHE 15/9/2014 HADI TAREHE 19/9/2014 NA SIO VINGINEVYO. ATAKAYELIONA TANGAZO HILI AWATAARIFU NA WENGINE
 
Me ndo mwenyekiti wa chama cha wafanya supp udsm{chawasudsm},ratiba imebadilika na mwez ujao tarehe 15 hadi 19 ndo tutaanza kupiga nyanga zetu pale mjengoni.over
 
hii kitu nashukuru imenipita kushoto... kwenda kutoa macho mdegree wakati chuo bado si mchezo!!
 
Me ndo mwenyekiti wa chama cha wafanya supp udsm{chawasudsm},ratiba imebadilika na mwez ujao tarehe 15 hadi 19 ndo tutaanza kupiga nyanga zetu pale mjengoni.over

Tutafutane shosti...
 
Me ndo mwenyekiti wa chama cha wafanya supp udsm{chawasudsm},ratiba imebadilika na mwez ujao tarehe 15 hadi 19 ndo tutaanza kupiga nyanga zetu pale mjengoni.over

Hahahahah....
 
Back
Top Bottom