ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Kwakweli hii mechi Mimi nikiwa kama mshabiki wa Yanga na Al masry pamoja na wenzangu wengi, tunaisuburi mechi yetu ya pili ya kufuzu dhidi ya makolo aka Simba ambayo itachezwa Kwa Mkapa. Tuna uhakika mkubwa tutapita,
Sasa naomba wauzaji wa jezi hasa wa dar es salaam watuletee haraka sana jezi takribani 10,000 Ili mashabiki wa Al masry na yanga Kwa pamoja tuvae tukamtoe kijikuu Cha TFF na Bodi ya Ligi Simba.
Pia Sisi washabiki wa Al masry wa Hapa Dar tutahakikisha tunawapa Al masry taarifa zote muhimu na za ndani zitakazOwezewsha ushindi wetu katika Confederation cup dhidi ya Simba.
Tutalinda Uwanja, Tutalinda hotel watakayofikia, tutatoa ulinzi wa Hali na mali, na kuhakikisha vyumba havipuliziwi dawa.
Naipenda Africa, Naipenda Tanzania, Naipenda Yanga, Naipenda Al Masry