Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Katika pitapita zangu nimekutana na tovuti ya nofap hii imenipa hamasa sana ukiangalia ukanda mzima huu wa afrika mashariki hakuna tovuti hii kwa jamii yetu
Nimeona niianzishe na teyari nilikua nayo nyingine so nikufuta old post na kuanza upya
Ningependa nipate mtazamo wako hii ni kama forum nyingine tu bali itahusu kupambana na addiction na kujumuika kipindi upo lonely nitaadd na option ya kuhesabu progress ya mda uliokaaa bila kufanya hiyo addiction
Link nitaweka baadae ila nataka kujua nianze na category zipi au kama unataka kuwa moja ya wakandarasi karibu PM
Au mnaonaje wazo langu nakubali kukosolewa hii itakuwa available for freeeee kabisa
Karibuni
N.B mods sijavunja sheria hivyoo sitegemei uzi kufutwa
Usipite bila comment vijana wengi ni waadhirika wa addiction ya hata kunywa soda