klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
hapo red ni mbegu adimu kweli hiyo kwa kizazi cha leo! eniwei kuna baadhi ya issues hauwezi kuziongea kiuwazi face to face hata na mzazi wako. So nadhani social networking ni the best option ya kushare kwa baadhi ya kesi.kwa aibu zangu mimi,kwangu mimi,ni best option.kulooongaaa weeeee,nikamwaga kila kitu face to face,huwa siwezi.huwa inachukuwa muda mrefu,kumzoea mtu na kuunda urafiki
Lizzy aksante sana kwa hii thread ingawa inasikitisha sana. Poor kids jamani mbona wiki hii imeanza vibaya kwangu?? Hizi habari za ukatili kwa watoto zinaniweka kwenye wakati mgumu sana wapendwa. MUNGU tusaidieUgumu wa maisha nao unachangia.
Mtu ana familia yakena tayari anahangaikasana kuwawekea kitu mezani alafu na wewe uende kwake kuomba msaada ?Inakua ngumu kwa kweli.
Kwa system za maisha ya ulaya sidhani kama angeshindwa kuwakabidhi hao watoto kwa social security! Mimi nadhani ana personal issues ambazo zimempatia depression tu na akaamua kuuwa watoto kwa msukumo wa depression.
Au pia inawezekana amekosana na watu wa kwenye system na akajijua yeye yupo right hivyo ameamua kufanya hivyo ili system iwajibishwe. All in all mama yupo very wrong.
Create your own support system...be someone else's support system.
Ukihisi mtu wako wa karibu ana kitu kinachomsumbua jaribu kuwa karibu nae usije baadae ukabaki kufikiria ''ningejua ningeweza kumsaidia''.
Baada ya kuona maisha yamemshinda. Kuumbuka kumeshafikia kikomo, wafadhili wameshakata ufazili wao, marafiki wakimkimbia, hana cha kuuza tena, nauli ya kurudi kijijini imemshinda..............
Kamwanda akaamua kutafuta Suport toka kwa mai waifu wake...........
Usiku wamelala akamwambia mkewe: "Mke wangu tutaua watoto na kwashakoo wakati weye u bado kijana na mzuri namna hii?........ Huko mtaani hutongozwi?.........kama watongozwa, nimeridhia wakubalie wakupe hela tusiendelee kuumbuka namna hii............" Mwisho wa kunukuu.
Hii ndiyo Suport Sytem kwa mwanaume mwenye upendo na familia yake.
Anayetaka kujua kilichotokea baada ya hapo, anyooshe kidole juu.
Sitakujibu kwa sababu hujanyoosha kidole.......una tabia mbaya.Hahahha nacheka wakati inasikitisha. Wewe Asprin wewe ah. Kwa hiyo unataka kusema hata iwe vipi, lazima kuna mlango wa kutokea si ndio?
Lol mwalimu mwenyewe mkali kila mwanafunzi anahofia kunyoosha kidole....mie najitosa unaninanga!!Sitakujibu kwa sababu hujanyoosha kidole.......una tabia mbaya.
Jibu la swali lako ni NDIO. Mlango wa kutokea upo, hata kama kuna maumivu kuutokea. Maisha lazima yasonge mbele, siyo vifo vitangulie maisha.
Hako ni kadalili ka kutaka kuanza umbea lolLol mwalimu mwenyewe mkali kila mwanafunzi anahofia kunyoosha kidole....mie najitosa unaninanga!!
..........Ni kweli kama unavyosema lakini kama nimemwelewa vema Lizzy ni kuwa inawezekana kabisa kuwa hizi option huyu dada hakuziona kutokana na ile hali ambayo mpaka sasa hatujaijua bado, iko ndani yake mwenyewe.
Mwalimu Lizzy sema kama nimepatia !
Usitoke nje ya mada lol .............Elezea milango ambayo angeitumia huyu dada (kama kweli alichoshwa na hali ngumu ya maisha kama huyo kamwanda wako)Hako ni kadalili ka kutaka kuanza umbea lol
kwa tunaoishi africa lifestyle yetu ni support system kubwa
ofisini mnaongea yote,kijiweni the same....wadada wakienda saloon ndo usiseme
kwenye daladala wakati wa foleni.watu wanabwabwaja tu mambo yao.....
uswahilini,wapangaji wenzio na kadhalika......ndugu,mjomba,shangazi....
sometimes ukiishi kizungu kwa hapa africa unapata hizo risk za depression....
ingawa siwalaumu wanaoishi hivyo but nimeona saana
Ni hivi: Kazi amekosa, kila akitafuta hapati. Seriklini pia amekwama. Labda nauli ya kurudi kwao Kenya pia kakosa. Watoto wanalia njaa...........Angefanyaje zaidi ya kufanya ile biashara kongwe zaidi kupata kutokea duniani?............Hata Mungu asingemhesabia dhambi naamini.Usitoke nje ya mada lol .............Elezea milango ambayo angeitumia huyu dada (kama kweli alichoshwa na hali ngumu ya maisha kama huyo kamwanda wako)
NK hapo kwenye mabano umenikumbusha kaka yangu. Tulikuwa tunapatana sana kupita kiasi. Kuna kipindi nilimwomba anisupport issue flani akakubali. Huwezi amini nikawa nikimpgia simu hapokei, nikajaribu siku kumpigia kwa namba nyingine akapokea. akakata mawasiliano ikabidi na mimi niuchune. Tangu mwaka juzi nimekuja kuonana nae mkoani last week ananilaumu nimekuwa kimya.Nakumbuka tulipokuwa wadogo tulikuwa na majirani ambao kidogo walikuwa hawana uwezo; you can't imagine baba alikuwa akinunua gunia la sukari basi jua hata kilo kumi zinaenda kwa jirani. Yani kuomba chumvi ilikuwa si shida. But these days we are more westernized; (sijawahi kuona mtu anaomba chochote kwangu wala mimi kuomba kwa mtu).
MJ1 huu mwezi umekua mbaya sana kwakweli. Habari mbaya kila upande...Lizzy aksante sana kwa hii thread ingawa inasikitisha sana. Poor kids jamani mbona wiki hii imeanza vibaya kwangu?? Hizi habari za ukatili kwa watoto zinaniweka kwenye wakati mgumu sana wapendwa. MUNGU tusaidie
Lizzy darling hii pia inachangiwa na kutokuwa na uchaji wa MUNGU na upendo kwa wenzetu. Hivi ulishawahijaribu kugawana kidogo ulichonacho na asiye nacho?? faraja unayoipata moyoni ni kubwa sana na pia unafungua milango ya baraka hebu watu tujifunze kusaidia watu wenye shida tuone.
Haya nigongee LIKE nipate appetite ya kula ugali mchana.
[h=4]tion[/h] There are currently 14 users browsing this thread. (9 members and 5 guests)
Dada alishapoteza box lake bwana...na kupata kazi kuna sehemu ni ngumu sana kwakweli.nakubaliana nawe dawa chungu...
huko ulaya ukijibana vizuri hukosi kazi hata
ya kubeba maboxi.. si lazima system yaonekana
yeye alikuwa ana "depend "sana kwenye hizo system na
alikuwa hana plan nyingine zikikataa..