Ndio ni vizuri kumtegemea Mungu ila kupata unachotaka/hitaji inabidi ukihangaikie pia.Huwezi kukaa ndani tu ukaomba uwe upate chakula na mavazi na vikajitokeza tu bila wewe kuhangaika. Na inapokua kwamba wewe umeshindwa/una wakati mgumu kupata mahitaji yako unatakiwa uchanganye maombi na wanadamu wengine upate kusaidika.Lizzy don't you know that the only support system is the Christ Jesus.............read John 15:7 for further proof........................."If you abide in Me and My word abides in you; you will ask for whatever you desire and it shall be done for you."
Ndicho haswa nnachomaanisha mpenzi.............Ni kweli kama unavyosema lakini kama nimemwelewa vema Lizzy ni kuwa inawezekana kabisa kuwa hizi option huyu dada hakuziona kutokana na ile hali ambayo mpaka sasa hatujaijua bado, iko ndani yake mwenyewe.
Mwalimu Lizzy sema kama nimepatia !
We babu wewe...Ni hivi: Kazi amekosa, kila akitafuta hapati. Seriklini pia amekwama. Labda nauli ya kurudi kwao Kenya pia kakosa. Watoto wanalia njaa...........Angefanyaje zaidi ya kufanya ile biashara kongwe zaidi kupata kutokea duniani?............Hata Mungu asingemhesabia dhambi naamini.
Haya nigongee LIKE nipate appetite ya kula ugali mchana.
maskini watoto............msongo wa mawazo unasababisha kufanya kitu hukutarajia.............fikiria mume wameachana, kazi umefukuzwa, msaada serikalini ndio hivyo daaah...........haya maisha wakati mwengine
Maishani mtihani mkwe...kila mtu ana mbinu zake kukabiliana nao. Nyingine nzuri na nyingine hazijitoshelezi!!