Support Yenu wakuu

Godlov

Member
Joined
Sep 11, 2014
Posts
43
Reaction score
7
Habari zenu wadau.Kwa kifupi mm ni kijana mpenda maendeleo na mabadiliko katika fikra na matendo.Nmekuwa nikifatilia jamii forum kwa miaka3 salsa. Nimeona jinsi vijana wenzangu mnavyofanya harakati nzuri kiukweli nami nimevutiwa sana kujiunga nnayo. Hivyo basi naomba mnipokee ili twende sambamba katika jukwaa hili,ili tuweze kusukuma gurudumu hili LA harakati pamoja....nsomba support yenu wakuu.....Nawasilisha
 
Reactions: jme
kijana karibu sana cha msingi ufuate sheria tu za jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…