Habari zenu wadau.Kwa kifupi mm ni kijana mpenda maendeleo na mabadiliko katika fikra na matendo.Nmekuwa nikifatilia jamii forum kwa miaka3 salsa. Nimeona jinsi vijana wenzangu mnavyofanya harakati nzuri kiukweli nami nimevutiwa sana kujiunga nnayo. Hivyo basi naomba mnipokee ili twende sambamba katika jukwaa hili,ili tuweze kusukuma gurudumu hili LA harakati pamoja....nsomba support yenu wakuu.....Nawasilisha