MKWERE: akiwa na bakula, anaomba kwa wazee wa kaya wa wasomi huko ulaya.
WAZEE WA ULAYA: Kwani una shida gani mkwere?
MKWERE: Nina matatizo mengi wazee wangu, UKIMWI, MALARIA, UMASKIN, na hayayote bajeti yangu haifikii
WAZEE WA ULAYA: Halafu w mkwere, si una dhahabu, almasi,makaa ya mawe, gesi asilia, uraniun, tena tunasikia unamadini ambayo wewe kwenye kaya yako tu unayo ya tanzanite na madini mengi ne mengi, una wanyama kwa ajili ya watalii, una vivutio vingi tu kwa utalii vingine umeshindwa kuvirudisha toka ujeruman et huna pa kuviweka, una misitu unavuna mbao, una mito na mabwawa mengi na bahari ya hindi iko kwako pia. una mlima mrefu afrika nzima ule tumasikia unaitwa kilimanjaro sijui uko kwako kweli maana muda mwingine tumaambiwa uko kenya.. na kodi mbalimbali za nchi yako, mbona wewe kaya yako bado ni maskini hivi?
MKWERE: hata mimi sijui kwanini sisi ni maskini wazee wangU.
Jamani huyu ni mzee gan wa kaya asiyejua kwann ni maskin!!!!!!!