Suprise... hahah, Anwar Jibawi is a funny guy!!!

Huyujamaa ni comedian ninayemkubali sana aisee
 
Wako vizuri sana hao, watu wa fani ya comedian nchini wana la kujifunza hapa
 
Naipenda crew yao ukimuanza na destorm mkuu wakitengeneza za pamojahua nafarijika sana humo ndani awepo King Bach Destorm Splack Mcphonz Melvin
Uko vizuri madam, king bach ni kung of vines
 
Uko vizuri madam, king bach ni kung of vines
Hahaha najitahidi tu mkuu nawapenda sana yan karibu crew nzima naifollow had kina amanda lelepon hannah lianev hivi series ya caught ya destorm unaifatilia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…