Mkuu me napenda wakutane kwa pamoja ila zaidi napenda za destormM namkubali zaid melvin yule clip zake zote kali
Aisee siipati iko gud eeeh?Hahaha najitahidi tu mkuu nawapenda sana yan karibu crew nzima naifollow had kina amanda lelepon hannah lianev hivi series ya caught ya destorm unaifatilia?
Sanaa ifatilieAisee siipati iko gud eeeh?
Mkuu nimeona kina jaymond,mambo na vijambo wamemfollow so i hope walilifikilia kabla wazo lako.Wako vizuri sana hao, watu wa fani ya comedian nchini wana la kujifunza hapa
Ya jw tenaHuyo dada aliyevaa T-shirt ya jwtz kuna mtu ana namba zake simu za tigo[emoji1][emoji1]
Ngoja niishushe aiseeSanaa ifatilie
Nzuri mkuuMkuu nimeona kina jaymond,mambo na vijambo wamemfollow so i hope walilifikilia kabla wazo lako.