Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
ahahhahahahah yaani nimecheka sana ...bwana we si wajua we mtoto mzuri its just an example, samahani lakini! u just made the perfect example sijui kwa nini nimehisi hivyo!🙄
surprise fanya kwa mtu wa karibu, umetoka zako mwenge unakwenda hapo mbagala fasta, sio umetoka Arusha umekwea ngorika fasta jioni umechumpa dar unaingia ndani unakuta njema iko kifuani kwenye shori wako!, sasa hapo badala ya wewe kumfanyia yeye Sapraisi unjikuta wewe ndio umefanyiwa sapraizi unajikuta unakolapsi hapohapo
Afadhali shishi umesema ni mfano tu kwa Xpin,mwenzio mbona nimeridhika!
bado sijajijibu kibweka ni kwe nini mtu uamue kufanya suprise kwa mwenzio bila kumpa taarifa??
Ina mvuto zaidi !!? Or
hayo ma suprise yana raha na karaha zake, huyo mkaka amejuta mpaka bac...
haya wacha wende upate amehama am yuko safarini duh!!!!!
mtu wako wakaribu atahamaje bila kukutaarifu? labda awe hakupendi au😱uko sahihi Shishi,sijui itakuwaje na surprise yako na hapo tu-assume umefika usiku umechoka na safari halafu mtu hayupo au amehama,nahisi unaweza kuchanganyikiwa usijue la kufanya.
mtu wako wakaribu atahamaje bila kukutaarifu? labda awe hakupendi au😱
Surprise I believe ni poa katika mahusiano inachangia ku-rekindle mapenzi.lakini jamani uwe tayari pia kuyajua mengi mwenza wako anyoyafanya 'while u were away'.... ni njia moja ya kumfumania kama ana spare part mbili tatu u never know... so just be prepared for anything!! sipendi kuimagine huyo mwenza wako akiwa ni Xspin, Fidel...utakayoyaona duh!!!
Suprise haifai maana mtu anaweza kujiachia ma w/end na rafiki zake wa kike na wa kiume we ukamkuta nao na yupo chicha ukawaza mengineyo. Sasa mvuto utatoka wapi? Ni bora umuambie ili saa ya kujiachia unakuwa nae
ahahhahahahah yaani nimecheka sana ...bwana we si wajua we mtoto mzuri its just an example, samahani lakini! u just made the perfect example sijui kwa nini nimehisi hivyo!🙄
hahaha Xpin na Fidel ni kifimbo cheza
FL1 naomba ufafanuzi wa hiyo red kabla mashetani hayajanipanda nikaja kukusapraiz na serengeti zangu kichwani.
lugha inapanuka Xpin
Tatizo lako unacheka lakini kale kabatani ka thenks hukagongi! You are forgiven darling. By the way how is nrb? Mmeshaanza kufanya sensa ya mashoga (sorry, off point)
haya nishakagonga!!!! na uwache kujipigia debe..... hao mashoga bado nafikri sensus inaendelea sijui wanaifanya kivipi?