carmel
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,836
- 265
kwani ukivaa miwani yako ile unaona inasomekaje?Hujaomba radhi ujue! Afu hiyo red hiyo inahitaji ufafanuzi wa kina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani ukivaa miwani yako ile unaona inasomekaje?Hujaomba radhi ujue! Afu hiyo red hiyo inahitaji ufafanuzi wa kina.
kwani ukivaa miwani yako ile unaona inasomekaje?
I tell u unakwenda unajisurprise mwenyewe na vijizawadi vyako...duh!!
haaaa.....jmoc moja mr alinifata ofcn bila taarifa ilikuwa ni bday ya ma colleague, alinikuta nipo busy naserebuka na nzela, wife nimejipinda kwa dance, nikashangaa mkaka niliekuwa na dance nae ghafla kawa mdogo, wengine wote wanashindwa kunibonyeza, mie nipoooo busy mpaka nimekuja kushtukia ahaaa......alikomaga kuja ofcn bila taarifa....
hahaha! Binamu kwa mitego! Hahaha! Niangalizie kama mchumba yuko around. Si unajua siku hizi nimekuwa muzee ya disiplini? Hapa tunapeana distance love kwa raha zetu. Badaye namzukia na suprise kama niliyomfanyia siku ile, si unakumbuka?
Haa ha haaaaa, kweli nampa ZD big up kwa kukushikisha adabu, nimeamini wanawake tuna nguvu, hadi wewe umekuwa mutu ya disipilini! hata siamini. haya endelea kumfanyia fullu masaprize kama alivyokufanyia siku ile.
haaaa.....jmoc moja mr alinifata ofcn bila taarifa ilikuwa ni bday ya ma colleague, alinikuta nipo busy naserebuka na nzela, wife nimejipinda kwa dance, nikashangaa mkaka niliekuwa na dance nae ghafla kawa mdogo, wengine wote wanashindwa kunibonyeza, mie nipoooo busy mpaka nimekuja kushtukia ahaaa......alikomaga kuja ofcn bila taarifa....
Eheeee! Hizi ndio stori nazotakaga. Ehe ikawaje? Lete umbea mpwa bado kuamka.
eeeh, what happened? wambea wengi hapa, udaku udaku tu ndo tunapenda.one of those days niliwahi kufanya suprise gosh sitarudia maishani mwangu neva on this Planet ..
ni bora nipige au ni deep nipigiwe ...
haya wacha wende upate amehama am yuko safarini duh!!!!!
one of those days niliwahi kufanya suprise gosh sitarudia maishani mwangu neva on this Planet ..
ni bora nipige au ni deep nipigiwe ...
eee nilijickia noma lakini haku mind aliishia kusema ingekuwa umenikuta mie ndio nipo busy hivyo walaa ucngenielewa....lol btw unapenda udaku sana khaa.
nyamayao una vituko weye yaani nimecheka mpaka najishangaa hii kali 🙂
Kama wewe ungemkuta yeye anakata mauno na mshori anayekatika kama Aisha Madinda au Ray C ingekuwaje? Be sincere!
Pretty unajua wengine wanaamini mambo ya suprise yanaimarisha penzi ..hata kwenye mitandao wapi wanadai ooh inabidi sometimes umfanyie mwenzi wako suprise
suprise zenyewe ndo hizi ??
Mie sijawahi kujaribu surprise am going to plan one..kaeni hapa hapa nitawaleteta udaku wote......
eeeh, what happened? wambea wengi hapa, udaku udaku tu ndo tunapenda.