Suprise ndani ya distance love... inafaa?

kwani ukivaa miwani yako ile unaona inasomekaje?

hahaha! Binamu kwa mitego! Hahaha! Niangalizie kama mchumba yuko around. Si unajua siku hizi nimekuwa muzee ya disiplini? Hapa tunapeana distance love kwa raha zetu. Badaye namzukia na suprise kama niliyomfanyia siku ile, si unakumbuka?
 
I tell u unakwenda unajisurprise mwenyewe na vijizawadi vyako...duh!!

haaaa.....jmoc moja mr alinifata ofcn bila taarifa ilikuwa ni bday ya ma colleague, alinikuta nipo busy naserebuka na nzela, wife nimejipinda kwa dance, nikashangaa mkaka niliekuwa na dance nae ghafla kawa mdogo, wengine wote wanashindwa kunibonyeza, mie nipoooo busy mpaka nimekuja kushtukia ahaaa......alikomaga kuja ofcn bila taarifa....
 
Eheeee! Hizi ndio stori nazotakaga. Ehe ikawaje? Lete umbea mpwa bado kuamka.
 
hahaha! Binamu kwa mitego! Hahaha! Niangalizie kama mchumba yuko around. Si unajua siku hizi nimekuwa muzee ya disiplini? Hapa tunapeana distance love kwa raha zetu. Badaye namzukia na suprise kama niliyomfanyia siku ile, si unakumbuka?

Haa ha haaaaa, kweli nampa ZD big up kwa kukushikisha adabu, nimeamini wanawake tuna nguvu, hadi wewe umekuwa mutu ya disipilini! hata siamini. haya endelea kumfanyia fullu masaprize kama alivyokufanyia siku ile.
 
Ila akichomoka unistue nijaribu bahati yangu. Kuna wageni watatu wameingia leo nahisi watakuwa ma-SHE.
 
haaaa.....jmoc moja mr alinifata ofcn bila taarifa ilikuwa ni bday ya ma colleague, alinikuta nipo busy naserebuka na nzela, wife nimejipinda kwa dance, nikashangaa mkaka niliekuwa na dance nae ghafla kawa mdogo, wengine wote wanashindwa kunibonyeza, mie nipoooo busy mpaka nimekuja kushtukia ahaaa......alikomaga kuja ofcn bila taarifa....

nyamayao una vituko weye yaani nimecheka mpaka najishangaa hii kali 🙂
 
Eheeee! Hizi ndio stori nazotakaga. Ehe ikawaje? Lete umbea mpwa bado kuamka.

eee nilijickia noma lakini haku mind aliishia kusema ingekuwa umenikuta mie ndio nipo busy hivyo walaa ucngenielewa....lol btw unapenda udaku sana khaa.
 
one of those days niliwahi kufanya suprise gosh sitarudia maishani mwangu neva on this Planet ..
ni bora nipige au ni deep nipigiwe ...
 
eeeh, what happened? wambea wengi hapa, udaku udaku tu ndo tunapenda.
 
haya wacha wende upate amehama am yuko safarini duh!!!!!

Duuuh!
Kabla ya kutimkia huko mpigie simu ya kimbea kwanza,ooh darling upoo?
oooh una ndugu yako pacha?maana nimemuona mtu kafanana nawe ile mbaayaa nusu nimrukie kwa mahaba,....nk..nk!
kama anakijisafari utapata umbea hapo hapo.

Ila surprise ngumu sana kama hujajiandaa na la kukuta jipya,....
 
one of those days niliwahi kufanya suprise gosh sitarudia maishani mwangu neva on this Planet ..
ni bora nipige au ni deep nipigiwe ...

mie mwenzenu naogopa kweli hayo mambo,unaweza kukuta mzee anafanya vitu ambavyo huwezi amini maishani, naogopa uchizi wa ghafla aise.
 
eee nilijickia noma lakini haku mind aliishia kusema ingekuwa umenikuta mie ndio nipo busy hivyo walaa ucngenielewa....lol btw unapenda udaku sana khaa.

Kama wewe ungemkuta yeye anakata mauno na mshori anayekatika kama Aisha Madinda au Ray C ingekuwaje? Be sincere!
 
mhhh ndio mana mie ni mpaka nitoe taarifa akae sawa haya mambo ndio cyataki.....
 
Mie sijawahi kujaribu surprise am going to plan one..kaeni hapa hapa nitawaleteta udaku wote......
 
Pretty unajua wengine wanaamini mambo ya suprise yanaimarisha penzi ..hata kwenye mitandao wapi wanadai ooh inabidi sometimes umfanyie mwenzi wako suprise
suprise zenyewe ndo hizi ??

Mimi pia napenda surprise, ni kweli inaimarisha penzi. wewe fikiria upo home alone, bored, ghafla unamuona mpenzi wako bila kutarajia, kwa kweli unaweza kulia kwa furaha. na mapenzi huwa yanapendeza yakiwa hayatabiriki, I mean hujui kesho mwenzio atakufanyia nini. inapendeza ukipata kitu bila kutarajia.
Ila ni hatari sana kwa wasio waaminifu, ndo hiyo ya kujitafutia ugonjwa wa moyo. hebu fikiria huyo kaka asingejidai na ma-surprise yake mambo yangekuwa bomba tu.
 
I DONT BELIEVE IN BLUETOOTH/gprs LOVE/RELATIONSHIP.

MIMI NA MPENZI WANGU NINGEPENDA KUTEMBEA NAE KILA MAHALI TUSHIKANE MIKONO NA KILA MTU AJUE. NINA MAPENZI YA KUMBIKUMBI
 
eeeh, what happened? wambea wengi hapa, udaku udaku tu ndo tunapenda.

Carmel miaka ileeeeeeeee kuna jamaa niliamini ndo roho na mwili wangu ni kama vile mwili bila damu ..one day yes nikatia timu bila taarifa nilisafiri masafa kidogo ,,kufika naingia ndani nakumbana na bi dada kakaa na huyo jamaa wamejilalia na kanga moja t made in India kwenye kochi huku vi picha vyangu nikiwa naye vikiwa vimepambwa ndani sasa sijui alimwambia huyo mdada mie ni nani yake ama House girl ama dadaangu sipati picha
Mlango nilioingilia ndio niliotokea mpaka keshooooooooo najuuuuuuuuta kumfahamu
habari ndo hiyo
 
Back
Top Bottom