Suprise nyingine hazifai.......Kuna mipaka bana!

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
9,424
Reaction score
11,320
Unakuja asubuhi mapemaa tena wikend. Umelala kwa mapumziko ya hekaheka za Ijumaa usiku halafu mtu anakugongea na kuanza kukupigisha story nyiingi zisizo na kichwa wala mguu!!! Hata kama mapenzi lazima tujue mipaka bana.

Hivi si kuna tofauti ya:

1. Urafiki wa kawaida
2. B/f & G/f (urafiki usio wa kawaida)
3. Uchumba
4. Ndoa

Au mimi ndiye naishi Dunia ya akina Kinjekitile Ngwale au Shaaban Robert!!!!

NB: Si lazima story hii inihusu mimi

Sasa ni nani aliyekugongea hiyo asubuhi, ni rafiki, mpenzi, mchuchu au mke?
 
Au alipata tetesi umelala na mwanamke mwingine ndio maana akaamua kukuzukia Asubuhi??
 
Si ingekuwa hivyo ningejua moja....but hakuja kufanya ambush.....!!
 
Huko ktk category ipi kati ya hizo ulizozitaja? manake nashindwa kuchangia vizuri
 
Kabla ya tukio ni g/f sasa sijui baada ya tukio nimuweke category gani
 
Si ingekuwa hivyo ningejua moja....but hakuja kufanya ambush.....!!

Jinsi unavyo respond inaelekea kama vile hum feel.. Tuambie basi kama ni gf, mchumba, jirani, classmate au vipi!
 
Jinsi unavyo respond inaelekea kama vile hum feel.. Tuambie basi kama ni gf, mchumba, jirani, classmate au vipi!

Kabla ya tukio ni g/f sasa sijui baada ya tukio nimuweke category gani
 
Kabla ya tukio ni g/f sasa sijui baada ya tukio nimuweke category gani

inabidi sasa uboreshe status yake manake inaonyesha yuko serious ktk relationship, so u can upgrade her to a senior gf
 
Yaani hilo tukio alilofanya la kukusurprise ndio limekufanya umtoe kwenye hadhi ya kuwa g/f!! Dah.. Wanawake jamani tuna kazi sana..
 
inabidi sasa uboreshe status yake manake inaonyesha yuko serious ktk relationship, so u can upgrade her to a senior gf

Braza!! khaa......mimi nilitaka kumrudisha kwenye urafiki....unaona sawa kuwa na mtu ambaye anaweza kutoka kwao alfajiri kuja kupiga blah blah kwa b/f? (labda ingekuwa kuna element za ambush ningeelewa)
 
Back
Top Bottom