Supu ya kichwa cha mbuzi

Supu ya kichwa cha mbuzi

Kwa wale wapenzi,ndugu jamaa na marafiki mnaopenda kupata supu ya kichwa cha mbuzi habari hii inawahusu!

Jana nilipita baa moja nikakuta vichwa vya mbuzi vinaandaliwa kwa ajili ya supu,walikuwa wanatoa vinyweleo/manyoya ya kichwa kwa kutumia VIWEMBE!viwembe hivihivi tunavyotumia kukatia kucha,kunyolea nywele za kichwani kwapa na hata mgodini!

Kwa kweli nilichoka kabisa,kama sio used vile sijui,eeh Mungu baba utunusuru na yatokeayo mbali ya upeo wa macho yetu
hata makongoro wanatumia viwembeeeeeee
 
Hao wanaotumia viwembe ni wahuni.Supu safi ya kichwa cha mbuzi daslam inapatikana Kabile Corner mbele kidogo tu ya rose garden kama unaelekea kwa Mwalimu Nyerere.
 
Kwa wale wapenzi,ndugu jamaa na marafiki mnaopenda kupata supu ya kichwa cha mbuzi habari hii inawahusu!

Jana nilipita baa moja nikakuta vichwa vya mbuzi vinaandaliwa kwa ajili ya supu,walikuwa wanatoa vinyweleo/manyoya ya kichwa kwa kutumia VIWEMBE!viwembe hivihivi tunavyotumia kukatia kucha,kunyolea nywele za kichwani kwapa na hata mgodini!

Kwa kweli nilichoka kabisa,kama sio used vile sijui,eeh Mungu baba utunusuru na yatokeayo mbali ya upeo wa macho yetu

Hahahha, kwa hiyo ukajua hvo viwembe vimetumika?!!!
 
kukwangulia viwembe si issue na nina uhakika si used sema suala la kuona hivyo limekutatiza coz unajua matumizi ya wembe ndo hayo uliyolist, but wembe ni sharp cutter unaweza tumia hata kukatiakatia nyama hata ukipenda,.dont make other people feel as u feell urself, thats what u think bwana, but sidhani kama kuna shida wakifanya hivyo coz naamini viwembe hivyo si used. usiharibu biashara za watu!!!!
 
Back
Top Bottom