SUPU YA PWEZA IKIPIGWA BAN, WATU WATAANDAMANA?

SUPU YA PWEZA IKIPIGWA BAN, WATU WATAANDAMANA?

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,740
Reaction score
8,751
Supu ya pweza imezidi kujiongezea wateja siku hadi siku, wauzaji wanaongezeka kila kukicha na wateja pia. Ukipipita mitaa mbali mbali mida ya jioni utaona kundi kubwa la watu ktk meza za pweza. Nimweza tu, ikiwa hi biashara ua pweza ikipigwa marufuku, nini kitatokea kwa wateja?
 
Back
Top Bottom