Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,740
- 8,751
Supu ya pweza imezidi kujiongezea wateja siku hadi siku, wauzaji wanaongezeka kila kukicha na wateja pia. Ukipipita mitaa mbali mbali mida ya jioni utaona kundi kubwa la watu ktk meza za pweza. Nimweza tu, ikiwa hi biashara ua pweza ikipigwa marufuku, nini kitatokea kwa wateja?