Supu ya pweza na uwezo wa kimapenzi

Naomba hiyo source ya kisayansi inayosema "Pweza wana madini mengi sana ya Zinc."

Next..........
 
ZMA siyo anabolic steroid. Nilipo mimi anabolic steroids haziuzwi madukani. Na ni kinyume cha sheria kuwa nazo au kuzitumia bila muongozo wa daktari.

tazama hapo juu kuna swali hujanijibu
 
Naomba hiyo source ya kisayansi inayosema "Pweza wana madini mengi sana ya Zinc."

[h=3] [/h]There you have it!
 
NN

what do porno stars use?
zma?or what?

Heheheee umewaza nini kuniuliza mimi kuhusu hao? Kwa kweli sijui wanatumia nini but I wouldn't rule out anything. Kumbuka wenzako ile ndo kazi yao kwa hiyo watafanya chochote kile wawezacho kitakachowawezesha ku perform at the optimum.
 
Nyani Ngabu ukweli ni kwamba siku zote filamu haiwezi kuwa kitu halisi, tendo la dakika 2 wao wanauwezo wa kulirefusha na ikawa dakika 30. sitegemei mtu wa viwango vya JF asiwe na uelewa huo.
 
Jamani, Pweza sio Oyster, Oyster ni Chaza.

Watu wa mwambao wa pwani wanafahamu tofauti ya Pweza na Chaza. Wale wanyama wanaoliwa na vi-toothpaste mabarabarani sio Chaza ni Pweza, na mnyama wetu hapa kwenye mada sio Chaza, ni Pweza.

Kwa hiyo, kwa uungwana wa kisayansi nakuomba (umeyaleta wewe haya ya sayansi, ulipoelekea kuharibu mambo yetu ya mapenzi kwa kuingiza sayansi, na wengine sayansi kwetu ni dini, ukiigusa unatugusa), nakuomba aidha ufute kauli yako au niruhusu niendelee kuweka ombi mezani:

Naomba chanzo kinachosema "Pweza wana madini mengi ya Zinc."
 
dah tatizo vijana hamjiamini tu. Ukijiamini wala hakuna haja ya pweza unapiga kitu na mtoto ana salute.
 
mhhhhh
kumbe ni chaza?????

wasije kupanda bei tu nao lol
 
Anzisha thread yako, hapa topic ni pweza na nguvu za kiume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…