Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
gaijin hebu tujibu hili
oysters ndio pweza?
na chaza je anaitwaje?????
Octupus na oyster sio kitu kimoja kwahiyo PWEZA SIO OYSTER!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gaijin hebu tujibu hili
oysters ndio pweza?
na chaza je anaitwaje?????
Pweza ni octopus
Chaza ni oysters
Ni vitu viwili tofauti mno
Hakuna chanzo wala uthibitisho wa kisayansi, tufanye NN amekosea na wewe ndio mshindi. tuendelee na mada, are you happy now?hahahahahaha.....
Kaka, tutaharibu uzi tukiibua ya Kombe na Mokome na wanyama-mikuyati wa aina nyingine yeyote.
Mada yetu hapa ni Pweza na nguvu za kiume. Pweza! Tukaletewa data za kisayansi potofu maana zamhusu mnyama mwingine, lakini mhusika hajafuta kauli yake, hivyo hoja-ombi langu bado liko wazi:
Naomba chanzo au huo uthibitisho wa kisayansi kwamba "Pweza wana madini mengi sana ya Zinc."
hahahahahaha.....
Kaka, tutaharibu uzi tukiibua ya Kombe na Mokome na wanyama-mikuyati wa aina nyingine yeyote.
Mada yetu hapa ni Pweza na nguvu za kiume. Pweza! Tukaletewa data za kisayansi potofu maana zamhusu mnyama mwingine, lakini mhusika hajafuta kauli yake, hivyo hoja-ombi langu bado liko wazi:
Naomba chanzo au huo uthibitisho wa kisayansi kwamba "Pweza wana madini mengi sana ya Zinc."
Ngisi a.k.a cuttlefish ndio bora zaidi.sasa yupi mwenye zinc nyingi au yupi ndio dawa zaidi ya kiume hapo
from what you have heard so far?
sasa yupi mwenye zinc nyingi au yupi ndio dawa zaidi ya kiume hapo
from what you have heard so far?
Kidume kinataka uhakika looooosasa yupi mwenye zinc nyingi au yupi ndio dawa zaidi ya kiume hapo
from what you have heard so far?
Oysters have much much more zinc than octopuses, kwa hiyo iwapo tutatizama uhusiano wa kisayansi wa zinc na mwili wa mwanamme pekee, basi pweza hana chake, you have more chance with chaza na magome mengine
Ndio, ngisi ndio cuttlefish.ngisi ndio cuttlefish?????
Ngisi ni squid
Cuttlefish ni mkizi
Nyie hamjawahi kuvua? Lol
Na sepia ni samaki gani?
Yaani umejiridhisha kabisa kwamba unaweza kutudanganya kwamba Sepia ndio Cuttlefish?Sepia ndo cuttlefish....but that's beside the point
Almuhim' ngisi, mkizi, na pweza wote wanachukuliwa kuwa jamii moja, japokuwa viwango vya madini ndani ya 'viumbe bahari' hao havilingani
Yaani umejiridhisha kabisa kwamba unaweza kutudanganya kwamba Sepia ndio Cuttlefish?
Yaani udanganye watu halafu unategemea tukae kimya?Ukitaka amini usipotaka sepa.
Yaani udanganye watu halafu unategemea tukae kimya?
Pweza = OctopusWhatever makes you happy