Supu ya pweza na uwezo wa kimapenzi

Supu ya pweza na uwezo wa kimapenzi

hahahahahaha.....

Kaka, tutaharibu uzi tukiibua ya Kombe na Mokome na wanyama-mikuyati wa aina nyingine yeyote.

Mada yetu hapa ni Pweza na nguvu za kiume. Pweza! Tukaletewa data za kisayansi potofu maana zamhusu mnyama mwingine, lakini mhusika hajafuta kauli yake, hivyo hoja-ombi langu bado liko wazi:

Naomba chanzo au huo uthibitisho wa kisayansi kwamba "Pweza wana madini mengi sana ya Zinc."
Hakuna chanzo wala uthibitisho wa kisayansi, tufanye NN amekosea na wewe ndio mshindi. tuendelee na mada, are you happy now?
 
hahahahahaha.....

Kaka, tutaharibu uzi tukiibua ya Kombe na Mokome na wanyama-mikuyati wa aina nyingine yeyote.

Mada yetu hapa ni Pweza na nguvu za kiume. Pweza! Tukaletewa data za kisayansi potofu maana zamhusu mnyama mwingine, lakini mhusika hajafuta kauli yake, hivyo hoja-ombi langu bado liko wazi:

Naomba chanzo au huo uthibitisho wa kisayansi kwamba "Pweza wana madini mengi sana ya Zinc."

Hilo ombi lako haliwezi kutimizwa kamwe kisayansi.
 
sasa yupi mwenye zinc nyingi au yupi ndio dawa zaidi ya kiume hapo
from what you have heard so far?

Oysters have much much more zinc than octopuses, kwa hiyo iwapo tutatizama uhusiano wa kisayansi wa zinc na mwili wa mwanamme pekee, basi pweza hana chake, you have more chance with chaza na magome mengine
 
ngisi ndio cuttlefish?????
 
Mi nimetumia mwani (seaweed)! Nimehakikisha inaongeza urijali
 
Kwa kukusaidia zaidi tu kombe ni jamii moja na chaza na hao ndio wenye zinc ya kutosha kusaidia mwili wako.
 
Na sepia ni samaki gani?

Sepia ndo cuttlefish....but that's beside the point

Almuhim' ngisi, mkizi, na pweza wote wanachukuliwa kuwa jamii moja, japokuwa viwango vya madini ndani ya 'viumbe bahari' hao havilingani
 
Sepia ndo cuttlefish....but that's beside the point

Almuhim' ngisi, mkizi, na pweza wote wanachukuliwa kuwa jamii moja, japokuwa viwango vya madini ndani ya 'viumbe bahari' hao havilingani
Yaani umejiridhisha kabisa kwamba unaweza kutudanganya kwamba Sepia ndio Cuttlefish?
 
Whatever makes you happy
Pweza = Octopus
Ngisi = Cuttlefish
Mkizi = Sepia
Squid ni huyo hapo pichani

[TABLE="class: ts"]
[TR]
[TD="width: 20%, align: left"][/TD]
[TD="width: 20%, align: left"][/TD]
[TD="width: 20%, align: left"][/TD]
[TD="width: 20%, align: left"][/TD]
[TD="width: 20%, align: left"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%, align: left"]This squid ...467 × 349 - 155k - jpg
soest.hawaii.edu
Find similar images

[/TD]
[TD="width: 20%, align: left"]Laughing Squid Photo by500 × 649 - 98k - jpg
laughingsquid.com
Find similar images

[/TD]
[TD="width: 20%, align: left"]Squid Loligo / Sepioteuthis520 × 466 - 21k - jpg
dpi.nsw.gov.au
Find similar images

[/TD]
[TD="width: 20%, align: left"]... Humboldt squid's new600 × 455 - 13k - jpg
scienceblogs.com
Find similar images

[/TD]
[TD="width: 20%, align: left"]Giant squid washes up on400 × 340 - 26k - jpg
thistasmania.com
Find similar images

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%, align: left"][/TD]
[TD="width: 20%, align: left"][/TD]
[TD="width: 20%, align: left"][/TD]
[TD="width: 20%, align: left"][/TD]
[TD="width: 20%, align: left"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom