Rev Fr KABOKA mchizi
Member
- Feb 20, 2012
- 93
- 11
.hata ivyo supu kesho haitakua tamu kiivyo...maana hako kam-mbwa alikopita nako mangi hapa hakana afya kabsaa!
.
Mkuu BAGAH upo? Nakumbuka ule uzi ulioanzisha those dayz lol. Naona huyo mangi ukoo wake ulianzia kule kwa akina Chifu Mkwawa..
.M.O.S.H.I (MUNGU ONESHA SEHEMU HELA ILIPO)...kichaga...LOL...!
sasa wameingilia mpaka kazi za kina HEHE!!.
SI Unit nipo mwingi niaje!