busara na hekima
Member
- Mar 1, 2017
- 66
- 19
Sura na picha yake ipo account ya Instagram ya mange kaitazamekwa kuongezea Ndo muaandaji wa Xxl
Shirika La Wambea Duniani.Shilawadu ndo nini kwani?
so hata raisi wako nae mwanamke maana anakipenda kipind cha wambeaSasa inatuhusu nini hapa.. haya mambo yenu mmalizane huko insta . siku hizi si wanaume si wanawake wambea wambea tu
usikurupuke kujibu tuu hebu , kaoge,kaa chini, kunywa maji soma tena uelewe nimesemaje haposo hata raisi wako nae mwanamke maana anakipenda kipind cha wambea
Mbna soudy anajulikana sana tu ...
Aseeee hii kama Isidingo kila siku tukio jipya inaweza chukua hata Mwaka.How long does the silly season last?