Sura halisi ya Soudy Brown wa Clouds FM

Sura halisi ya Soudy Brown wa Clouds FM

Status
Not open for further replies.
Mbona sura yake kitambo tu inajulikana .....ni ww tu mbwembwe zako mkuu
 
Mkishaamua nchi yenu muiendeshe kwa matukio msilalamike pale matukio yanapowakandamiza nyinyi...
Wacha muisome namba tu
Msisahau kumfollow MangeKimambi kushuhudia anguko la clouds media group
 
Sudi brown amechokoza nyuki pamoja na clouds fm
Haki ya Mung nawaambia amuombe tu msamaha gwajima ama mange mana mange anavua watu nguo kesho mchana kweupe listi imetajwa hapo inatisha jaman
 
mangekimambi_-20170319-0001.jpg
Kama alivyoahidi Mwanadada Kiboko ya Uchafu Mange Kimambi hatimaye aanika rasmi sura ya Soudy Brown a.k.a Roboti au Makorokocho


Shilawadu Shilawadu nawaona nawaona.....
 
Hata mimi nipo huku kijiji cha sigimbi, lakin namfahamu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom