Sura halisi ya Soudy Brown wa Clouds FM

Status
Not open for further replies.
Shilawadu namuona namuona anakunywa tuu viroba
 
Shida iko wapi mbona quiser kiroho safi anajianika na ubuyu km kawa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kesho mitandao isipozimwa sijui.
[emoji23] nilikua nawaza hicho kitu lakin watazima kwa mda gani ...wiki mwezi mana itarudishwa tu na ikirudishwa ngoma iko pale pale
Ila sudi ametishwa pamoja na wenzake ndani ya nchi yako unatishwa na bastola eti urushe kipindi jins anayekuamrisha atakavyo
ndio udikteta umeingia rasmi
ila tutajua ukwel ...kama walitishwa kweli labda mange anaweza kuwastahi akina sudi mana lengo lao ni ku balance stor na sio vingonevyo lakin kama hawajatishwa bas kesho kuna mtu anavuliwa nguo stendi ubungo kweupee ..waliotisha na kutishwa
 
Mbna soudy anajulikana sana tu ...
Mi mwenyewe hua najiuliza ina maana haishi na majirani, hajasoma na watu, hana marafiki, hana familia, anaishi porini.

Umemaliza mkuu Sudi anafahamika
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…