Sura halisi ya Soudy Brown wa Clouds FM

Sura halisi ya Soudy Brown wa Clouds FM

Status
Not open for further replies.
SHILAwadu wametisha Kumbe Gwajima ana wake wa kutosha
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kunasiku niliingia istagramu au Facebook nikaaandika wasagaji na mashoga nikakuta sizonje ni member wa hizo group sijui ni vp
 
mangekimambi_-20170319-0001.jpg
 
Hahahaha
Hii Combination ya Gwajima na Mange hata MSN wa Barcelona hawaoni ndani haki.
Saafi kina sudy wakome kuingia kichwa kichwa kwenyw miziki ya wakubwa
Hahahaha ni lethal combination (combo) kwa kweli!
 
Anamwanika kwa sababu gani?

Au sababu amemuhoji kimada wa Gwaji?
Yop! A total shame game! Hivi hawa watu wanalalaje kutwa kuwaza ugomvi! Roho Mtakatifu anakuwa wapi hapo kanisani? Almighty One please intervene on this issue, its totally madness!
 
Naona anguko la aibu mwa mwana mfalme maana hapo ulipogusa kwny media umetereza. Aibu sana, bora hata ungerisign km Lowasa bungeni
 
Sudi brown amechokoza nyuki pamoja na clouds fm
Haki ya Mung nawaambia amuombe tu msamaha gwajima ama mange mana mange anavua watu nguo kesho mchana kweupe listi imetajwa hapo inatisha jaman
muache awalumbue tuu hakuna namna maana clouds wanajifanya watakatifu sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom