Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niliwahi kuweka thread hapa juu ys hilo ikafutwa ....zHiyo sura inatusaidia nini sisi wat?? Akili za watx siku hizi sijui ni nn, akili ndogo kutawala akili kubwa
Awww!!!clouds media is where men can be eaten and swallowed like women alah.
Shirika La Wambea Duniani.
Shilawadu ndo nini kwani?
Umbea ndio umempa Sudi ajiraSasa inatuhusu nini hapa.. haya mambo yenu mmalizane huko insta . siku hizi si wanaume si wanawake wambea wambea tu
Anamwanika kwa sababu gani?View attachment 483175Kama alivyoahidi Mwanadada Kiboko ya Uchafu Mange Kimambi hatimaye aanika rasmi sura ya Soudy Brown a.k.a Roboti au Makorokocho
Shilawadu Shilawadu nawaona nawaona.....
Hahahaha ni lethal combination (combo) kwa kweli!Hahahaha
Hii Combination ya Gwajima na Mange hata MSN wa Barcelona hawaoni ndani haki.
Saafi kina sudy wakome kuingia kichwa kichwa kwenyw miziki ya wakubwa
Yop! A total shame game! Hivi hawa watu wanalalaje kutwa kuwaza ugomvi! Roho Mtakatifu anakuwa wapi hapo kanisani? Almighty One please intervene on this issue, its totally madness!Anamwanika kwa sababu gani?
Au sababu amemuhoji kimada wa Gwaji?
Jukwaa la celebrities hupendi umetafuta nini huku sasa?Sasa inatuhusu nini hapa.. haya mambo yenu mmalizane huko insta . siku hizi si wanaume si wanawake wambea wambea tu
nenda siasani huku umbea tuSasa inatuhusu nini hapa.. haya mambo yenu mmalizane huko insta . siku hizi si wanaume si wanawake wambea wambea tu
kipindi pendwa cha mukuluShilawadu ndo nini kwani?
muache awalumbue tuu hakuna namna maana clouds wanajifanya watakatifu sanaSudi brown amechokoza nyuki pamoja na clouds fm
Haki ya Mung nawaambia amuombe tu msamaha gwajima ama mange mana mange anavua watu nguo kesho mchana kweupe listi imetajwa hapo inatisha jaman