hii picha ya kitambo kdgo kama sio 2012 au 2011huyu si yeye, hajawahi kuwa mwembamba hvyo ... sudi mtoto wa upanga.. hlf in real life hayuko hvyo mnavyomuona shilawadu.. ni kazi tu
hii picha ya kitambo kdgo kama sio 2012 au 2011
Acha ubishi wewe! Unaujua wimbo wa East Coast Team-Itikadi?ulitoka mwaka gani? Tuanzie hapo kwanza....kwenye ile video yupo anayejua kuweka link za Youtube atusaidiendo nakwambia hajawahi kuwah hvyo... ana mwili toka ennzi yuko shuleni.. huyo siyo yeye kabisa
sawaa.. ebu tutumie picha basi tumjue nasis huyu soudy brown unaemjua ww umesoma nae siondo nakwambia hajawahi kuwah hvyo... ana mwili toka ennzi yuko shuleni.. huyo siyo yeye kabisa
Sema yule jamaa ni mpole sana.Ukimuona huwezi hata dhaniA
sasa jamani si utakua ushankunaku... mmmh hata hvyo sina picha yake...!!!sawaa.. ebu tutumie picha basi tumjue nasis huyu soudy brown unaemjua ww umesoma nae sio
Acha ubishi wewe! Unaujua wimbo wa East Coast Team-Itikadi?ulitoka mwaka gani? Tuanzie hapo kwanza....kwenye ile video yupo anayejua kuweka link za Youtube atusaidie
Mkuu vipi alikutangaza nini!!!Mwenye picha ya Sudi Brown please aiweke hapa,nahitaji kumfahamu.
Mkuu kumbe upo[emoji134]Nimeipenda midomo yake macho yake yakurembua ila shepu sijaiona
[emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mkuu kumbe upo[emoji134]
Vipi tena mtani mbona unalala mbele[emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Amekupakua nini?!Choko mtozeni huyo.... Eti gossip cop!! Shoga mkubwa
The guy he is doing katika kazi yake, unique
mengine wivu wenu tu