Sura halisi ya Soudy Brown wa Clouds FM

Sura halisi ya Soudy Brown wa Clouds FM

Status
Not open for further replies.
ndo nakwambia hajawahi kuwah hvyo... ana mwili toka ennzi yuko shuleni.. huyo siyo yeye kabisa
Acha ubishi wewe! Unaujua wimbo wa East Coast Team-Itikadi?ulitoka mwaka gani? Tuanzie hapo kwanza....kwenye ile video yupo anayejua kuweka link za Youtube atusaidie
 
Mwacheni dogo ajiingizie pesa bana...mbona kina joti nao walkuwa na kipind kinaitwa 'aliye fulia'
 
Mm nnayo picha yake ya hv karibuni ila naogopa kuweka hapa tccra
 
Acha ubishi wewe! Unaujua wimbo wa East Coast Team-Itikadi?ulitoka mwaka gani? Tuanzie hapo kwanza....kwenye ile video yupo anayejua kuweka link za Youtube atusaidie

hhahahhaha unalijua nick name yake?? unajua anakaa wapi?? unajua kasoma wapi??? niamini nikikwambia siiyeee!!!
 
Ile ni kazi tu. Kama zilivyo kazi nyingine. Jamaa anapiga hela nyie mnazidi kumwona mmbea
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom