Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shusha nondo mkuuAiseee!
Kumbe nawewe pia humjui.?Mimi nilivoona Umeanza na title yako nikajua ndo wewe umeileta tumuone
STUNTER ..Tsup.
KWA WASIOMJUA:
Soudy Brown ni Mtangazaji Maarafu Wa Clouds FM katika kipindi cha XXL kwenye sesion ya YOU HEARD.
Tumezoea kuziona picha za huyu jamaa akiwa na Mask usoni.
Yaani jamaa amefanikiwa kiasi kikubwa katika zoezi la kuificha sura yake, Maana kuna mpaka baadhi ya wasanii wakubwa Bongo ambao pia hawamjui
licha ya kwenda mjengoni(clouds) mara kibaao.
SASA WAKUU MWENYE PICHA YA SOUDY BROWN INAYOONYESHA SURA YAKE BILA MASK TUNAOMBA AITUPIE ILI TUMJUE...
Duh! Umeipata wap hii?
Duh..,, mbona maelezo yako yana ukakasi kidogo... Hebu fafanu, unamfahamu au ulimuona kwenye picha?Akivua ile mask ana sura nzuri laini na macho melegevu hivi
Huyu jamaa nilimuona live ile siku ya kwanza ya kwenda kumuhoji Baba yake na DIAMOND halafu ikashindikana, sasa nadhani walijisahau kumvesha mask sasa hivi nikitafuta hiyo clip siioni.
Angalia pua ya huyo wa kwanza kisha hiyo inayofuatia ,hii chai umetoa wapi na sukari hamna ?