Kwanini tunaita Sura katika sheria za Tanzania hata kwingineko. Ninavyojua Sura ni chapter katika kitabu, sasa ina maana sheria zetu zina kitabu kimoja?

Yes, sheria zipo kwenye mpangilio kama kitabu, kuna sura ya kwanza ambayo ndo Interpretation of laws Act yenyewe inatoa tafsiri muhimu ambazo kuhusu sheria...