Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, sheria zipo kwenye mpangilio kama kitabu, kuna sura ya kwanza ambayo ndo Interpretation of laws Act yenyewe inatoa tafsiri muhimu ambazo kuhusu sheria...Kwanini tunaita Sura katika sheria za Tanzania hata kwingineko. Ninavyojua Sura ni chapter katika kitabu, sasa ina maana sheria zetu zina kitabu kimoja?
asante sana. haya mambo lazima kuyajua bwana.Yes, sheria zipo kwenye mpangilio kama kitabu, kuna sura ya kwanza ambayo ndo Interpretation of laws Act yenyewe inatoa tafsiri muhimu ambazo kuhusu sheria...