Hii si sawa!!Kuna jambo la sura kuonekana ina umri mkubwa zaidi ya umri halisi. Mmoja kati ya watu hao ni rafiki yangu wa karibu na baadhi ya watu wa humuhumu JF.
Haya wataalamu na wenye mawazo ya jambo hili tujuzane SABABU, TIBA, na KINGA kuhusu jambo hili.
Na hii pia si sawaUnaishi kwa konyagi/ugimbi/kilusu/pomoni/lusuo/mnazi/ulanzi nk. Kula kwako kwa mashaka, maji hunywi, matunda hadi tabibu akushauri, mbogamboga/salad kwako unadai ni chakula cha mbuzi, unategemea nini kama sio sura ya 60s wakati wewe ni wa 90s!
Kuna jambo la sura kuonekana ina umri mkubwa zaidi ya umri halisi. Mmoja kati ya watu hao ni rafiki yangu wa karibu na baadhi ya watu wa humuhumu JF.
Haya wataalamu na wenye mawazo ya jambo hili tujuzane SABABU, TIBA, na KINGA kuhusu jambo hili.
. na baadhi ya watu wa humuhumu JF.
.