Sura kubwa zaidi ya umri

Sura kubwa zaidi ya umri

UZZIMMA

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
414
Reaction score
481
Kuna jambo la sura kuonekana ina umri mkubwa zaidi ya umri halisi. Mmoja kati ya watu hao ni rafiki yangu wa karibu na baadhi ya watu wa humuhumu JF.

Haya wataalamu na wenye mawazo ya jambo hili tujuzane SABABU, TIBA, na KINGA kuhusu jambo hili.
 
Unaishi kwa konyagi/ugimbi/kilusu/pomoni/lusuo/mnazi/ulanzi nk. Kula kwako kwa mashaka, maji hunywi, matunda hadi tabibu akushauri, mbogamboga/salad kwako unadai ni chakula cha mbuzi, unategemea nini kama sio sura ya 60s wakati wewe ni wa 90s!
 
Hii si sawa!!

Na hii pia si sawa
 
Maumbile.Mengine ni kufanya kazi zisizoenda na umri wako. Vyakula, utakuta kila siku chakula cha aina hiyo hiyo moja. Wengine ni maisha na shida.
 
Lishe duni, uvutaji wa sigara, mawazo, maradhi ya muda mrefu, kilevi kupita kiasi na kutolala masaa ya kutosha kwa siku vyote hivi huchangia kumfanya mtu aonekane na umri mkubwa kuliko umri wake.
 
Kuna jambo la sura kuonekana ina umri mkubwa zaidi ya umri halisi. Mmoja kati ya watu hao ni rafiki yangu wa karibu na baadhi ya watu wa humuhumu JF.

Haya wataalamu na wenye mawazo ya jambo hili tujuzane SABABU, TIBA, na KINGA kuhusu jambo hili.

Weka picha yake tumuone.
 
Back
Top Bottom