Monica Mgeni
Member
- Oct 7, 2021
- 82
- 134
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitto ni tapeli snSiasa ina unafiki sana! Zitto Kabwe kakosea sana, Hayati Magufuli hayupo ni vizuri aachane naye!
Tunajua ameshamsoma Mama Samia na waliomzunguka ndo maana anamnanga sana Hayati Magufuli.
Anachosahau Zitto ni kwamba kama kuna ufisadi Magufuli alifanya basi hakufanya pekee yake.
Walishiriki Makamu wake, Waziri Mkuu,Waziri wa Fedha na Baraza lake la Mawaziri.
Kwa nini asemwe vibaya Hayati Magufuli pekee yake?!
Zitto Kabwe tambua kuwa kupambana na Marehemu hakuwezi kukujenga hata kidogo bali kunakudogosha tu!
Umepatia snHakuna raia wa tanzania anamuchukulia serious anymore huyo mjasiriasiasa.