Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
JPM ataingia na system mpya ya Wabunge wanaoendana na kasi yake mwaka huu wa 2020. Wale waliotoka na ile system ya awamu iliyopita wengi watatemwa mno.
Vijana wengi sana wasio maarufu wataingia Bungeni mwaka huu 2020.
Wale waropokaji , wasio na elimu wala CV ya kukitetea chama na kuisaidia serikali wataachwa wengi sanaa..
Vijana msio na pesa wala CV msiogope kuchukua fomu.
Mtatoboa
Labda kama watatoboa ngoma na sio ubunge .
Sina hata 100,lakini nitachukua fomu, naamini watoa rushwa watakamatwa sanaaJPM ataingia na system mpya ya Wabunge wanaoendana na kasi yake mwaka huu wa 2020. Wale waliotoka na ile system ya awamu iliyopita wengi watatemwa mno.
Vijana wengi sana wasio maarufu wataingia Bungeni mwaka huu 2020.
Wale waropokaji , wasio na elimu wala CV ya kukitetea chama na kuisaidia serikali wataachwa wengi sanaa.
Vijana msio na pesa wala CV msiogope kuchukua fomu.
Mtatoboa
Wabunge wa CCM vijana waliotia nia TanzaniaJPM ataingia na system mpya ya Wabunge wanaoendana na kasi yake mwaka huu wa 2020. Wale waliotoka na ile system ya awamu iliyopita wengi watatemwa mno.
Vijana wengi sana wasio maarufu wataingia Bungeni mwaka huu 2020.
Wale waropokaji , wasio na elimu wala CV ya kukitetea chama na kuisaidia serikali wataachwa wengi sanaa.
Vijana msio na pesa wala CV msiogope kuchukua fomu.
Mtatoboa
Msukuma,Lusinde,Deo Sanga lazima warudi.JPM ataingia na system mpya ya Wabunge wanaoendana na kasi yake mwaka huu wa 2020. Wale waliotoka na ile system ya awamu iliyopita wengi watatemwa mno.
Vijana wengi sana wasio maarufu wataingia Bungeni mwaka huu 2020.
Wale waropokaji , wasio na elimu wala CV ya kukitetea chama na kuisaidia serikali wataachwa wengi sanaa.
Vijana msio na pesa wala CV msiogope kuchukua fomu.
Mtatoboa
Magufuli hapigi kura. Kura yake ni moja tu. Huo sio uchaguzi wa ndani ya CCM.JPM ataingia na system mpya ya Wabunge wanaoendana na kasi yake mwaka huu wa 2020. Wale waliotoka na ile system ya awamu iliyopita wengi watatemwa mno.
Vijana wengi sana wasio maarufu wataingia Bungeni mwaka huu 2020.
Wale waropokaji , wasio na elimu wala CV ya kukitetea chama na kuisaidia serikali wataachwa wengi sanaa.
Vijana msio na pesa wala CV msiogope kuchukua fomu.
Mtatoboa
nenda mkuuNilipenda sana nikachukue form ya kugombea ubunge sehemu niliyozaliwa jimbo moja huko mkoa Nanyara kwa jinsi nilivyoridhishwa na uchapaji kazi wa JPM maan sifa nyingi ninazo.
Yaani mm nlipanga nijiingize Jimbo la ukonga lakn mmmh mpunga nami mdomo mwingi ila "hohe hahe" aaagh ngojea nijipange kwa 2025 PANAPO uhai aaamin.JPM ataingia na system mpya ya Wabunge wanaoendana na kasi yake mwaka huu wa 2020. Wale waliotoka na ile system ya awamu iliyopita wengi watatemwa mno.