Uchaguzi 2020 Sura mpya za Wabunge Vijana CCM

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
JPM ataingia na system mpya ya Wabunge wanaoendana na kasi yake mwaka huu wa 2020. Wale waliotoka na ile system ya awamu iliyopita wengi watatemwa mno.

Vijana wengi sana wasio maarufu wataingia Bungeni mwaka huu 2020.

Wale waropokaji , wasio na elimu wala CV ya kukitetea chama na kuisaidia serikali wataachwa wengi sanaa.

Vijana msio na pesa wala CV msiogope kuchukua fomu.

Mtatoboa
 
Wale waropokaji , wasio na elimu wala CV ya kukitetea chama na kuisaidia serikali wataachwa wengi sanaa..

Vijana msio na pesa wala CV msiogope kuchukua fomu.

Mtatoboa

Labda kama watatoboa ngoma na sio ubunge .
 
JPM ataingia na system mpya ya Wabunge wanaoendana na kasi yake mwaka huu wa 2020. Wale waliotoka na ile system ya awamu iliyopita wengi watatemwa mno.

Vijana wengi sana wasio maarufu wataingia Bungeni mwaka huu 2020.

Wale waropokaji , wasio na elimu wala CV ya kukitetea chama na kuisaidia serikali wataachwa wengi sanaa.

Vijana msio na pesa wala CV msiogope kuchukua fomu.

Mtatoboa
Sina hata 100,lakini nitachukua fomu, naamini watoa rushwa watakamatwa sanaa
 
JPM ataingia na system mpya ya Wabunge wanaoendana na kasi yake mwaka huu wa 2020. Wale waliotoka na ile system ya awamu iliyopita wengi watatemwa mno.

Vijana wengi sana wasio maarufu wataingia Bungeni mwaka huu 2020.

Wale waropokaji , wasio na elimu wala CV ya kukitetea chama na kuisaidia serikali wataachwa wengi sanaa.

Vijana msio na pesa wala CV msiogope kuchukua fomu.

Mtatoboa
Wabunge wa CCM vijana waliotia nia Tanzania

Naomba tuwekee majina kila mkoa kila Iimbo
 
Mleta mada, sijakuelewa mantiki yako. Una maana wabunge vijana sio waropokaji, wana elimu??? Kasi gani unayosema vijana wanaweza kuendana nayo?? Kuna sehemu wapaswa kutumia ujana wao kutekeleza lolote?? Acha kuamini nadharia kwa kigezo cha umri - kuna vijana wengi wapumbavu kama walivo wazee wengi!

Muda wa “work hard” uko ukingoni. Sasa hivi ni “work smart”. Na huwezi kusema wazee hawawezi kuwa smart.

Hili neno “kasi ya kuendana na awamu hii” ni propaganda tu.
 
JPM ataingia na system mpya ya Wabunge wanaoendana na kasi yake mwaka huu wa 2020. Wale waliotoka na ile system ya awamu iliyopita wengi watatemwa mno.

Vijana wengi sana wasio maarufu wataingia Bungeni mwaka huu 2020.

Wale waropokaji , wasio na elimu wala CV ya kukitetea chama na kuisaidia serikali wataachwa wengi sanaa.

Vijana msio na pesa wala CV msiogope kuchukua fomu.

Mtatoboa
Msukuma,Lusinde,Deo Sanga lazima warudi.
 
Na hao wanao Uzwa na mƙulu ƙwenƴe ziara zaƙe watauruɗi ujana😂😂😂
 
JPM ataingia na system mpya ya Wabunge wanaoendana na kasi yake mwaka huu wa 2020. Wale waliotoka na ile system ya awamu iliyopita wengi watatemwa mno.

Vijana wengi sana wasio maarufu wataingia Bungeni mwaka huu 2020.

Wale waropokaji , wasio na elimu wala CV ya kukitetea chama na kuisaidia serikali wataachwa wengi sanaa.

Vijana msio na pesa wala CV msiogope kuchukua fomu.

Mtatoboa
Magufuli hapigi kura. Kura yake ni moja tu. Huo sio uchaguzi wa ndani ya CCM.
 
Naye Petro akamwambia Bwana, tumevua samaki usiku kucha lakini hatujapata kitu, lakini kwa neno lako tutashusha nyavu.. Maneno yako haya yatawafanya vijana wengi zaidi wajaribu bahati zao.
 
Nilipenda sana nikachukue form ya kugombea ubunge sehemu niliyozaliwa jimbo moja huko mkoa Nanyara kwa jinsi nilivyoridhishwa na uchapaji kazi wa JPM maan sifa nyingi ninazo.
 
Nani anawadanganya CCM kuwa JPM ataendelea kuwa rais baada ya uchaguzi?

Poleni CCM tutakutana Oct
 
JPM ataingia na system mpya ya Wabunge wanaoendana na kasi yake mwaka huu wa 2020. Wale waliotoka na ile system ya awamu iliyopita wengi watatemwa mno.

Vijana wengi sana wasio maarufu wataingia Bungeni mwaka huu 2020.

Wale waropokaji , wasio na elimu wala CV ya kukitetea chama na kuisaidia serikali wataachwa wengi sanaa.

Vijana msio na pesa wala CV msiogope kuchukua fomu.

Mtatoboa
Yaani mm nlipanga nijiingize Jimbo la ukonga lakn mmmh mpunga nami mdomo mwingi ila "hohe hahe" aaagh ngojea nijipange kwa 2025 PANAPO uhai aaamin.
 
Back
Top Bottom