Sura ni mwanajeshi ila mawazo ni ya Polepole

Dogo ni mkufunzi wa ndege za kivita - captain wa ndege za kivita (mkufunzi) si mtu mwepesi kama tunavyodhani.
Tunaomba Kanali ( Mkuu wa kambi ya Airwing) ajitokeze akanushe kwamba yule kijana si wa kambi yake.
Akanushe ili iweje? Kwa nini mnapenda sana kuishi kwa ulaghai na uongo?

CCM wamezinajisi sana akili zenu.
 
Kwasasa nchi imefika pabaya
Rais anapaswa kujua ccm mtandao wanamhujumu asipokuwa makini atakuwa na mwisho mbaya sana
 
Nadhani kosa ni kule kuamini CCM ni ALPHA na OMEGA.
Siku za CCM zinahesabika. Mungu wa Mbinguni tunaomba tutie nguvu kama ulivyowapa wale Wakoma kishindo kikuu.
 
 
This is nothing more than a transient political tide brought about by the general elections, one that shall eventually subside, leaving CCM to persist in plundering the nation with their customary ruthlessness and utter lack of compassion.
Church!
 
Nchi ilipofikia kazi kweli kweli kuongea lugha moja
 
Polepole alisema wakikaza shingo watashusha maboya kama kwenye ndege inapotokea hali ya hatari🐼
 
Na waombe Mungu atakayechukua nchi asiwe na hulka za Kitundu Lisu tundu Lisu, hapo ndio wataimba na kusaga meno

Mimi nilianza kuona dalili za "wakubwa" kuwachoka "wakubwa wao" hasa hasa kufuatia kauli za hivi karibuni za Mwanasheria mkuu wa serikali kwenda kwa wanataaluma wenzake

Zile kauli zinaonekana kama za "masononeko" kwamba kuna vitu wanafanya nje ya taaluma zao kukidhi matakwa ya wengine bila wao kupenda lakini wanaobena zigo la dhambi ni wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…