comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
#OGOPA MATAPELI BANDARI HAIUZWIUko sahihi na maelezo yako yana tija kubwa.
Ila tatizo kubwa ni kwamba mlambishwaji namba moja ni mtanzania namba moja anaye lala Ikulu.
Hili ni deal lake na yeye haangalii maslahi ya nchi bali mzigo aliokwudhawekewa huko Dubai.
Kwa maslahi makubwa ya Kijana wake Abdul.
View attachment 2738774View attachment 2738775View attachment 2738776