Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
Niaje wadau wa JF
Niko na mdau mmoja hapa anadai binadamu tuna sura za aina mbili, sura ya mbwa au sura ya paka. Sura ya mbwa anamanisha ni kwa wale wenye sura ndefu hivi. Sura ya paka anamaanisha ni kwa wale wenye sura za duara. Nikamuhoji mbona kuna jamaa falani ana kimdomo kama cha samaki hivi tunamuweka kundi gani hahaha aisee jamaa anazingua
Ila nimewaza tu kama mtu anaweza fananishwa na mnyama basi kwa sura yangu ningefanana sana na mbwa mwitu labda kutokana na masikio yangu kuwa makubwa. Sasa nimempigia simu wife kumuliza anaweza nifananisha sura na mnyama gani anadai nafanana sura na punda
Ila tuwe wawazi kweli unahisi unaweza kufanana sura na mnyama gani? Picha hapa najaribu kuzihusisha na mada husika kwa sababu uzi bila picha haunogi. .