Sura za kurogea watu na kufanyia ushirikina

YESU BADO ANAOKOA. OKOKENI WAISLAMU MUACHE DHAMBI. MUMKIRI NA KUMPOKEA YESU MIOYONI MWENU KWA IMANI
 
Umeongelea mambo mengi kwa kuyakusanya pamoja ila tambua kuwa Uislamu na Ushirikina ni vitu viwili tofauti kabisa, na suala la Ruqya na maelezo yako ni vitu viwili tofauti kabisa, SHIRKI NI DHULMA kubwa mno usiichanganye na Uislamu
 
Sheikh Sharifu majini anakucheki tu
 
Kuna mtu mmoja alinitishia kunisomea hicho kisomo Gani kwa shekhe wake nikamwambia kasome ila hutaniweza kwa jina la Yesu akaenda mpka kanitumia Sanda wamezika na Nazi Kavunja nikamwambia "Kama aishivyo Bwana Mungu wa Majeshi Israel na Aseme Sasa" nikamwambia vyote vitageuka ubaya juu yangu na kuwa ubaya Juu yako Mbona alipata Ajali akakatika mkono wa Kushoto hiyo ni mwaka jana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Umeongelea mambo mengi kwa kuyakusanya pamoja ila tambua kuwa Uislamu na Ushirikina ni vitu viwili tofauti kabisa, na suala la Ruqya na maelezo yako ni vitu viwili tofauti kabisa, SHIRKI NI DHULMA kubwa mno usiichanganye na Uislamu
Hivi yale madude mnayochoma usiku mchana na asubuhi yanayonuka ndio yanaitwaje na yanawasaidia nini maana kuna nyumba naishi nao karibu hapa asubuhi wanachoma yananuka sana mchana wanachoma usiku wanachoma tena yananuka balaa mpaka kichwa kinauma inabidi tufunge vioo
 
Sio mchezo hii ni kweli au ni utunzi?
 
WALETE WALETE WALETEEEEEE BABA KOBAZI MWAKA HUU WANA KAZI๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nakubaliana na wewe ,jina la Yesu Lina nguvu sana
 
Tafsiri ya sura al Falaq hii hapa
Hii hapa

1. ู‚ูู„ู’ ุฃูŽุนููˆุฐู ุจูุฑูŽุจูู‘ ุงู„ู’ููŽู„ูŽู‚ู
Sema: Najikinga kwa Mola.

2. ู…ูู† ุดูŽุฑูู‘ ู…ูŽุง ุฎูŽู„ูŽู‚ูŽ
Na shari ya viumbe Alivyoviumba;

3. ูˆูŽู…ูู† ุดูŽุฑูู‘ ุบูŽุงุณูู‚ู ุฅูุฐูŽุง ูˆูŽู‚ูŽุจูŽ
Na shari ya giza linapoingia;

4. ูˆูŽู…ูู† ุดูŽุฑูู‘ ุงู„ู†ูŽู‘ููŽู‘ุงุซูŽุงุชู ูููŠ ุงู„ู’ุนูู‚ูŽุฏู
Na shari ya wanaopuliza katika mafundo;

5. ูˆูŽู…ูู† ุดูŽุฑูู‘ ุญูŽุงุณูุฏู ุฅูุฐูŽุง ุญูŽุณูŽุฏูŽ
Na shari ya mwenye husuda anapohusudu.

---

Hiyo inahusianaje na kufanya ushirikina? Hii ni sura ya kinga.
 
Hii hapa ni tafsiri ya Surat An-Naas

---

1. ู‚ูู„ู’ ุฃูŽุนููˆุฐู ุจูุฑูŽุจูู‘ ุงู„ู†ูŽู‘ุงุณู
Sema: Najikinga kwa Mola wa watu;

2. ู…ูŽู„ููƒู ุงู„ู†ูŽู‘ุงุณู
Mfalme wa watu;

3. ุฅูู„ูŽู€ูฐู‡ู ุงู„ู†ูŽู‘ุงุณู
Mwenyezi Mungu wa watu;

4. ู…ูู† ุดูŽุฑูู‘ ุงู„ู’ูˆูŽุณู’ูˆูŽุงุณู ุงู„ู’ุฎูŽู†ูŽู‘ุงุณู
*Na shari ya wasiwasi wa shetani aliyefichika;

5. ุงู„ูŽู‘ุฐููŠ ูŠููˆูŽุณู’ูˆูุณู ูููŠ ุตูุฏููˆุฑู ุงู„ู†ูŽู‘ุงุณู
Anayewasemezesha watu ndani ya vifua vyao;

6. ู…ูู†ูŽ ุงู„ู’ุฌูู†ูŽู‘ุฉู ูˆูŽุงู„ู†ูŽู‘ุงุณู
Yeye ni wa majini na watu pia.

Hii inawezaje kufanya uchawi? Hii ni sura ya kuomba kinga pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ