Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Good morning/good afternoon/good evening/ good night to yall!!
Nimekumbuka kuna kaka mmoja alikua mpenzi wa mtu wangu wa karibu yani sijawahi ona mtu CONTROLLING kama yule.Alikua anawasiliana na mdada kujua yuko wapi kila saa...unakuta mdada anamjibu nipo kazini bado....utatoka saa ngapi?!...soon....then unaenda wapi?!....straight nyumbani!!...ohhh owkey tutaongea basi baadae ukifika mpenzi!
Wanaagana dada anamaliza shuguli zake huyooo nyumbani.Akifika either anaweza kumkuta mshkaji anamsubiria nje kwake au baada ya kama dakika tano hivi anakuja...unakuta alikua amekaa jirani akimwangalia.Nia kuu ya hizi SURPRISE VISITS alizokua anafanya ilikua kuhakikisha hadanganywi ila sasa mimi nataka kuongelea zile zinazofanywa kumsurprise mume/mke/mpenzi ambae amekumiss nawe kummiss.Either kwasababu kila mmoja anaishi kwake...safari za kikazi/kimasomo au mnaishi mikoa/nchi tofauti.
Je wewe una/ungefurahia kama mwenzako akikushangaza kwa ujio wake?!Bila wewe kutarajia ila uwe na hamu ya kua nae karibu ndo nnayoongelea...sio ile ya mwenzio akisafiri unasema AHHHH ASANTE MUNGU.Personally napenda sana...unakuta mtu hata kama ni uchovu unaisha...hasira zinapotea...upweke unakimbia...n.k
Na vipi kumshangaza wewe??Hii pia naona ni nzuri pia ila inapaswa uwe umetumia akili kujua ukimshtukiza mwenzako ataREACT vipi usije ishia kuulizwa unafanya nini hapa? kama ni kwake au mbona umewahi sana kurudi?! kama ni kwenu huku mtu sura amekunja...kwa maana nyingine asiyefurahia uwepo wako bila kumpa heads up.