Surprise visits.....

Jamani, I hate kitu kinachoitwa surprise iwe ni surprise visit au ya aina yeyote. Siwezagi kabisa kuzihimili mwenzenu.....lol!!
 
Jamani, I hate kitu kinachoitwa surprise iwe ni surprise visit au ya aina yeyote. Siwezagi kabisa kuzihimili mwenzenu.....lol!!

Copy and Paste ya mtu wangu.........................
 
Ndo ukome na ukomae

Niliwahi kumsuprise siku moja nilichoambulia sitarudia
Na wewe Ndo ukome na ukomae

Loh....kazi mbona anayo bibi wa watu.Na kweli asijaribu asije akafa kwa presha siku sio zake!
Ndo atakoma na kukomaa
 
Napenda sana sana mtu anisuprise yaani huwa nafurahi kupita kiasi,
haijalishi iyo suprise ya mbali au karibu, mradi umenisuprise huwa napenda sana,
iwe ya kunitembelea,kunitoa out sehemu nisiyoitarajia,kuniletea zawadi nisiyoitarajia,
iKunifanyia chochote ambacho sikukifikiria wala kukitarajia(kizuri lakin..lol, ), Da!! huwa nafurahi kupita kiasi.

KWA VILE MIMI NAPENDA SANA KUSUPRISEZIWA BASI NILIDHANI NA MWENZA wangu ANAPENDA,
LAKINI KUMBE NI KINYUME CHAKE, HAPENDI HAPENDI KABISA, SIKU NILIYOMSUPRISE KWA
KWENDA KWAKE PASIPO KUMJULISHA,JAPO SIKUMKUTA NA MTU mwingine(mwanamke)LAKIN HAKUPENDA KABISA,
HALI ya kununa ALIYOKUWA NAYO SIWEZI KUIELEZEA aliniweka wazi kuwa hapendi kabisa suprise.
TANGU SIKU HIYO mmh!! nilikoma kumfanyia suprise
(ksb nauheshimu mtazamo wake nikiamini kuwa hatuwezi kuwa na msimamo/mtazamo sawa kwa 100%).
Yeye nimempa ruksa kunifanyia suprise muda wowote ,
sehemu yoyote ile kwa ksb ni kitu ninachopenda na ni sehemu ya furaha yangu.Bahati
nzuri amenielewa na ananifanyia kila mara ajisikiapo kufanya hivyo.
Pia hata ndugu (baadhi) wanafahamu kuwa napenda wananifanyia maranyingi kila wajisikiavyo kufanya hivyo.
NAPENDA SANA SUPRISE, HALAFU HUWA NAAMINI KUWA ASIYEPENDA SUPRISE BASI ANAKOSA KITU
MUHIMU SANA KILETACHO FURAHA NA RAHA MAISHANI MWAKE,LAKIN SIMLAUMU KWANI KILA MTU
ANA NJIA YAKE YA IMPAYO/IMLETEAYO FURAHA KATIKA MAISHA YAKE YA KILA SIKU.

 
Hebu nipe faida kuu tatu za surprise visits..... au tufanye mbili basi.
1.Furaha ambayo hukuitarajia.2.Kupata ukaribu ulioukosa ghafla bila kutarajia.3.......
 
Nnunu mimi na wewe pamoja.Binafsi naona raha kupata kitu bila kufikiria/kupanga/kutarajia kukipata. Yani hata nikikuta vijicent kidogo kwenye wallet/nguo niliyosahau muda mrefu hata kama sina shida nayo ntatabasamu mpaka basi weeeeeee.
 
Ndo ukome na ukomae

Na wewe Ndo ukome na ukomae

Ndo atakoma na kukomaa

Hivi wewe!1??? Una............agrrrrrrrrrrrrrrr ngoja ninyamaze nisije nikala BAN ya paw maana ana hasira wiki hii
 
surprise visit ni mtindo tu wa mapenzi kama mitindo mingine, so hubadilika kulingana na wakati na hupokelewa kwa vionjo tofauti. wapo wanaopenda na wasipenda na hata wa 50/50.

binafsi sioni uzuri wake japo najua ni mbaya kwani zinadhihirisha kiwango fulani cha gaps za mawasiliano kwa kukusudia. mi napenda someone with whom i can enjoy a complete trust and reliable communication whenever we get appropriate chances and reasons, nami ndivyo nilivyo
 

Goood MJ, vipi yale ammbo yetu yanaendeleaje, nasubiri kadi ya mchango manake ndo utamaduni wetu....Hope lager zitakuwepo
 
1.Furaha ambayo hukuitarajia.2.Kupata ukaribu ulioukosa ghafla bila kutarajia.3.......
Labda kama ungefafanua kwa sauti au kwa ki-Inglish.........yaani furaha usiyotarajiwa iletwe na surprise visit? Can't swallow this..... Furaha inakuwa tamu pale unaponambia nakuja neksti week....basi mzeemzima najiandaa kimwili na kibaiolojia....ukifika unapokelewa kwa bashasha na wala si kwa mstuko....unapewa haki yako unayoistahili
 
Goood MJ, vipi yale ammbo yetu yanaendeleaje, nasubiri kadi ya mchango manake ndo utamaduni wetu....Hope lager zitakuwepo
Hommie hiyo bold hapo una maanisha karanga mbichi au?
 
Tatizo wewe una siri nyingi sana!Wengine hatuhitaji maandalizi muda wote tuko mguu sawa...au sijui ndo mguu pande!!lolz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…