IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,578
- 7,774
akija mikono mitupu simpokei..
ndio mwendo wa kisasa,........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akija mikono mitupu simpokei..
Jamani, I hate kitu kinachoitwa surprise iwe ni surprise visit au ya aina yeyote. Siwezagi kabisa kuzihimili mwenzenu.....lol!!
Ndo ukome na ukomaeLizzy hizi ni nzuri but isiwe too much kwa sababu itafika wakati mwenzio ataanza kuzitafsiri vinginevyo: Humuamini, wivu n.k tafsiri ambazo zitamfanya asifurahie tena ujio wako.
Ila pia inategemea na usafi wa mtu (Hana vimeo lol) kama ni msafi mydia kwake atafurahi but kama ndo ana-vi'shughulisho' vingine utakuwa unamzibia.
Nilisawahifanya moja, nikapata nilichopata na nikaapa kutorudia tena!!
Na wewe Ndo ukome na ukomaeNiliwahi kumsuprise siku moja nilichoambulia sitarudia
Ndo atakoma na kukomaaLoh....kazi mbona anayo bibi wa watu.Na kweli asijaribu asije akafa kwa presha siku sio zake!
Hebu nipe faida kuu tatu za surprise visits..... au tufanye mbili basi.Hahhah...we babu hufai wewe!!
Nnunu mimi na wewe pamoja.Binafsi naona raha kupata kitu bila kufikiria/kupanga/kutarajia kukipata. Yani hata nikikuta vijicent kidogo kwenye wallet/nguo niliyosahau muda mrefu hata kama sina shida nayo ntatabasamu mpaka basi weeeeeee.Napenda sana sana mtu anisuprise yaani huwa nafurahi kupita kiasi,haijalishi iyo suprise ya mbali au karibu, mradi umenisuprise huwa napenda sana,iwe ya kunitembelea,kunitoa out sehemu nisiyoitarajia,kuniletea zawadi nisiyoitarajia,iKunifanyia chochote ambacho sikukifikiria wala kukitarajia(kizuri lakin..lol, ), Da!! huwa nafurahi kupita kiasi. KWA VILE MIMI NAPENDA SANA KUSUPRISEZIWA BASI NILIDHANI NA MWENZA wangu ANAPENDA,LAKINI KUMBE NI KINYUME CHAKE, HAPENDI HAPENDI KABISA, SIKU NILIYOMSUPRISE KWAKWENDA KWAKE PASIPO KUMJULISHA,JAPO SIKUMKUTA NA MTU mwingine(mwanamke)LAKIN HAKUPENDA KABISA,HALI ya kununa ALIYOKUWA NAYO SIWEZI KUIELEZEA aliniweka wazi kuwa hapendi kabisa suprise. TANGU SIKU HIYO mmh!! nilikoma kumfanyia suprise (ksb nauheshimu mtazamo wake nikiamini kuwa hatuwezi kuwa na msimamo/mtazamo sawa kwa 100%).Yeye nimempa ruksa kunifanyia suprise muda wowote ,sehemu yoyote ile kwa ksb ni kitu ninachopenda na ni sehemu ya furaha yangu.Bahatinzuri amenielewa na ananifanyia kila mara ajisikiapo kufanya hivyo.Pia hata ndugu (baadhi) wanafahamu kuwa napenda wananifanyia maranyingi kila wajisikiavyo kufanya hivyo. NAPENDA SANA SUPRISE, HALAFU HUWA NAAMINI KUWA ASIYEPENDA SUPRISE BASI ANAKOSA KITUMUHIMU SANA KILETACHO FURAHA NA RAHA MAISHANI MWAKE,LAKIN SIMLAUMU KWANI KILA MTUANA NJIA YAKE YA IMPAYO/IMLETEAYO FURAHA KATIKA MAISHA YAKE YA KILA SIKU.
Ndo ukome na ukomae
Na wewe Ndo ukome na ukomae
Ndo atakoma na kukomaa
Pole Dena labda jaribu tena ila this time shika moyo kwanza!!Niliwahi kumsuprise siku moja nilichoambulia sitarudia
hahahahaaaa..... Inategemea na sababu, kwa upande wangu mimi huwa zinanizidi nguvu mpaka naona bora tu mtu asinifanyie.Copy and Paste ya mtu wangu.........................
Hivi wewe!1??? Una............agrrrrrrrrrrrrrrr ngoja ninyamaze nisije nikala BAN ya paw maana ana hasira wiki hii
surprise visit ni mtindo tu wa mapenzi kama mitindo mingine, so hubadilika kulingana na wakati na hupokelewa kwa vionjo tofauti. wapo wanaopenda na wasipenda na hata wa 50/50.
binafsi sioni uzuri wake japo najua ni mbaya kwani zinadhihirisha kiwango fulani cha gaps za mawasiliano kwa kukusudia. mi napenda someone with whom i can enjoy a complete trust and reliable communication whenever we get appropriate chances and reasons, nami ndivyo nilivyo
Labda kama ungefafanua kwa sauti au kwa ki-Inglish.........yaani furaha usiyotarajiwa iletwe na surprise visit? Can't swallow this..... Furaha inakuwa tamu pale unaponambia nakuja neksti week....basi mzeemzima najiandaa kimwili na kibaiolojia....ukifika unapokelewa kwa bashasha na wala si kwa mstuko....unapewa haki yako unayoistahili1.Furaha ambayo hukuitarajia.2.Kupata ukaribu ulioukosa ghafla bila kutarajia.3.......
Hommie hiyo bold hapo una maanisha karanga mbichi au?Goood MJ, vipi yale ammbo yetu yanaendeleaje, nasubiri kadi ya mchango manake ndo utamaduni wetu....Hope lager zitakuwepo
Tatizo wewe una siri nyingi sana!Wengine hatuhitaji maandalizi muda wote tuko mguu sawa...au sijui ndo mguu pande!!lolzLabda kama ungefafanua kwa sauti au kwa ki-Inglish.........yaani furaha usiyotarajiwa iletwe na surprise visit? Can't swallow this..... Furaha inakuwa tamu pale unaponambia nakuja neksti week....basi mzeemzima najiandaa kimwili na kibaiolojia....ukifika unapokelewa kwa bashasha na wala si kwa mstuko....unapewa haki yako unayoistahili