Afrodenzi asante kwa kuwakilisha hilo swala, personally huwa simalizi ku comprehend the issue. Hiyo wanafanya saana huko magharibi na nafikiri wao ndo wanaweza cause wanavisheria hata vya kipuuzi vya kumbana mtu. Tokana na the fact kua hawafanyi kienyeji na everything vinakua documented, yule biological mother hana jinsi zaidi ya kukabidhi huyo mtoto. Pia mara nyingi hao sarogates wanafanya hivyo kama a source of income ndo maana watu wanaofanya sana hii ni the rich and famous cause it costs a lot of money; For instance the gay Elton John na patner wake.
Hizo nchi tunazoona kua ni kioo cha kila kitu tusipoangalia zitatupeleka pabaya sana. Kama watu mmeoana kuna haja gani ya kuanza kutafuta tena surrogate? kama huzai ni understandable but una uwezo wa kuzaa, is there any need; I believe not. Hapo mtoto anachukuliwa kama commodity tu! I believe kuna haja ya kila mwanamke ambae Mwenyezi Mungu kampa uwezo wa kuzaa anatakiwa a experience at first hand, its a wonderful feeling, inakubadilisha you as being kabisa na kufanya uelewe na kuappreciate the world you live in zaidi.