Surrogate Mother

Baba Enock hacha u FBI.

I can see you are trying to connect dots

Afrodenzi,

Tafadhali nenda polepole, the way I SEE it, you are likely to be carried away ....

Referring to these two threads below:-
 
Isije ikawa alipata one night stand huko South anasingizia mbegu. Yaani mtu amwage mimbegu yake hospital alafu aanze kutrace nani kapandikizwa. It does not make sense.

 
kasheshe ni pale ambapo wengine
ili kuzuia matatizo ya kudaiwa watoto

wameamua kuzaa mpaka na mama za mabinti zao au ndugu zao wenyewe

yaani mtu na mkewe wana mtoto lakini surrogate mother ni mama mkwe
pata picha????????
Mhhhhhhhhhhhhhhhhh?!
 
Isije ikawa alipata one night stand huko South anasingizia mbegu. Yaani mtu amwage mimbegu yake hospital alafu aanze kutrace nani kapandikizwa. It does not make sense.
Huwa wanatrace ila hata wakimpata si kila mtu anakuwa na haki na mtoto? na pia inategemea yule baba alipotoa mbegu alisainishwa vipi kama alisema hatafuatilia ataishia kumwona mtoto kwa mbali tu. yaani mimbegu ilivyojaa hapa bongo mpaka kaenda south? kuna story pia nilisikia mdada wa watu hataki kuolewa wala kuzaa mtoto awe na baba anakuja kumwoa. alichofanya alienda kijijini huko kutembea kwa ndugu zake akatembea na mwanakijiji huko yaani mchovumchovu, akarudi huku kimyaaa mpaka leo ana mtoto wake. sijui wanakuwa na akili gani. ila kuna wengine wana shida kiukweli kama mume hana uzazi kabisa
 
Da Asha sante sana kwa ufafanuzi
kwa kweli hapa yaelekea ni tamaa
yapesa na matajiri ndio wanaofaidi na hil i..
Je tukiingia kwenye emotion side unafikiri ita
mu affect vipi yule alibeba mimba na baadaye mtoto kuchukuliwa?
 
Afrodenzi,

Tafadhali nenda polepole, the way I SEE it, you are likely to be carried away ....

Referring to these two threads below:-

Kwanza sante kwa kufuatulia poster zangu
pili kama kitu kipo na kinaendana na idara husika
sintoacha kuuliza....
tatu naomba uni PM au niiulize kama kitu kimeuudhi
kwenye poster zangu..
Goodnight..
 
hapo red:Hii pia ni 100% culture ya Waafrica nendeni mpate simulizi za wazee walivyokuwa wakiingia makubaliano na nduguze kumzalia (kumlala mkewe) pindi anapokuwa functionless.

Dahhh hii mimi ndo naisikia Leo
 
Da Asha sante sana kwa ufafanuzi
kwa kweli hapa yaelekea ni tamaa
yapesa na matajiri ndio wanaofaidi na hil i..
Je tukiingia kwenye emotion side unafikiri ita
mu affect vipi yule alibeba mimba na baadaye mtoto kuchukuliwa?



Sielewi kusema kweli, ila naamini sana kua itamu affect alobeba mimba miezi tisa hata kama atapata mamilioni ya fedha. Kuna wachache wenye bahati ambao wanaruhusiwa kua karibu na huyo mtoto, ila kwa wale ambao ndo hawamuoni kabisa, nashindwa ku imagine the agony.
 
Types of Surrogacy
There are two types of Surrogacy:

STRAIGHT - (This is also known as Traditional or Partial Surrogacy): This method uses the egg of the Surrogate Mother and the sperm of the Intended Father. This can be performed in an IVF clinic, but more often the technique of Artificial Insemination happens at home. In this situation the baby is biologically related to the Intended Father and the Surrogate Mother. Although it is the simpler of the two types of surrogacy in as much as conceiving is less complicated, mentally it can be the hardest to accept. Not only for the Surrogate Mother to give up her own biological child, but also for the Intended Mother to accept a child which her husband has fathered with another woman.

HOST - (Also known as Gestational or Full Surrogacy): This method uses the egg of the Intended Mother combined with the sperm of her husband or donor sperm. In this case an IVF clinic is always required. The Intended Father's sperm sometimes has to be frozen for 6 months. This depends on which clinic you choose to work with. A baby conceived by this method has no biological connection to the Surrogate Mother. This is by far the more difficult way to get pregnant. The chances of it working are low and it consumes a lot more time and energy to complete. However, many people feel more comfortable knowing the Surrogate Mother has no biological ties to the Surrogate baby she is to carry.
 

that means, kwa aina ya pili ya surrogacy....surrogate mother hana uhusiano biologically na mtoto atakayemzaa. mupo hapo?
 
Ni bora kuadopt aisee kuliko kupandikiza mbegu maana huyo mtoto akikua akajua ulichokifanya anaweza kukuchukia sana. Maana bora ujue baba yako kafa kuliko uambiwe niliokota mbegu nisizozijua. Ila watu wengi these days ni wabinafsi huyo mtoto atajiju.


 
Kitendo cha kumfuatilia mtoto tu tayari ni soo. Huoni kuwa ni kumchanganya mtoto? Maana huyo baba au mama anaweza kuwa anamvizia mtoto shule or anywhere na kumpa maneno. Labda nilikuwa masikini mwanangu, mimi ndo mama yako etc. Mimi nadhani mtoto hapaswi kujua huyo alombeba itamu affect kisaikolojia.


 
Afrodenzi,

Si kitu cha kushangaza tena hata kwenye jamii zetu za Kiafrika. Ni sawa sawa na IVF ilivyo kitu cha kawaida tu kwa sasa.

Wale wanaotumia mama au dada zao kubeba mimba inakuwa wao wenyewe wanamayai yao very healthy ila tu wana condition inayozua wao kubeba mimba. On this situation, huyu dada anauwezo wa kurutubisha mayai yake na kupandika embryo kwa mtu mwingine.

Ila for artificial insermination, sijawahi sikia na sidhani ni ethical kwa ndugu wa karibu kupandikizwa mbegu za kaka au shemeji yake. Mara nyingi hutafutwa mtu ambaye hayuko related kabisa na couple to be artificially inserminated kama mke hana mayai yenye afya. Or vile vile kama mme ndio mwenye tatizo, basi mke anaweza kuwa artificially inserminated by a sperm donor. But si ndugu wa karibu.
 
Huo ndo ukichaa wa walimwengu!!
Umeumbwa mwanaume ili uwe na mwanamke (and vice versa) mzae alafu mnaenda kua na jinsia moja huku bado mnatamani matunda yanayotokana na mahusiano kati ya mume na mke!!!

Nywz binafsi nadhani ni ngumu sana kwa mwanamke mwenye ROHO AMBAYO HAIJACHAKACHULIWA kubeba mimba miezi tisa alafu akakabidhi mtoto kwa mtu mwingine!!!Na kuhusu wanaume watajiskiaje naomba niwajibie wale ambao wanakataaga hata mimba zao....HAWATAJALI!!!
 
Ni bora kuadopt aisee kuliko kupandikiza mbegu maana huyo mtoto akikua akajua ulichokifanya anaweza kukuchukia sana. Maana bora ujue baba yako kafa kuliko uambiwe niliokota mbegu nisizozijua. Ila watu wengi these days ni wabinafsi huyo mtoto atajiju.
Yaani we acha tu mtu anataka kuwa mzazi mwenyewe sijui inakuwaje hapo
 
kasheshe ni pale ambapo wengine
ili kuzuia matatizo ya kudaiwa watoto

wameamua kuzaa mpaka na mama za mabinti zao au ndugu zao wenyewe

yaani mtu na mkewe wana mtoto lakini surrogate mother ni mama mkwe
pata picha????????

wee, tell me more plse...
 
sioni tatizo la u-surrogate mother kama watu mnakubaliana na positions zinakuwa wazi toka mwanzo. ni hiari ya kila mtu kuingia mahusiano hayo. mtoto aliyepandikizwa kwa huyo surrogate mother kama yai lake halikutumika kumtunga hawezi kuwa mtoto wake. uzazi wa mama si tu kuibeba mimba bali ni kutoa genes zake kwa huyo mtoto. ndo maana watoa yai-sperm watabaki kuwa wazazi wa asili wa mtoto na wewe surrogate mother unatumika kama human incubator tu. lazima iwepo sababu ya ushawishi sana kwa mama kukubali kuwa surrogate, vinginevyo italeta rabsha ambayo inaweza epukika.
 

dahhhhh
haya ndo matatizo yanayokija na haya mammbo..
lakini kwanini hawakufuata sheria za u surrogate??
au wao waliamu kwenda kienyeji tu mmhhhh
daahh uchungu wa mwana aujua aliyesukuma...
 
kasheshe ni pale ambapo wengine
ili kuzuia matatizo ya kudaiwa watoto

wameamua kuzaa mpaka na mama za mabinti zao au ndugu zao wenyewe

yaani mtu na mkewe wana mtoto lakini surrogate mother ni mama mkwe
pata picha????????

daahhh sasa bibi nani hapo ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…